Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Vijana ivo tumeumbiwa miguu ya kukaa kwenye daldala au kutembea?????
ndio nafika sa hivi had aibu kila mtu ananikodolea macho dah
Wewe Ndio unaishi Kimara? Halafu umehamia hivi karibuni? Na jina lako la JF linaanzia na herufi H? Nimeuliza tu
bado tumeganda mbezi na nasikia foleni ni.hadi kibaha
_SIRUDI TENA DAR!!!!
mawaziri wanakaa oysterbay,masaki,mbezi digital,mikocheni huko hawapiti na wakipita king'ora kinafagia barabara.
siishi Kimara.............. jina langu la Jf linaanzia na H ndio
Asante, umekosa zawadi
Sasa binti mbona kamba. Wanaokukodolea macho wamekuja kwa usafiri gani. Au wanakaa posta
tupo mbezi hapa pia kuna bonge ya foleni mbele tu ya kile kituo cha hiace kuna lori limeanguka magari yanageuza.
halafu huyu dreva analalamika amechoka amefika dar saa tisa usiku jana.dreva
ndio nafika sa hivi had aibu kila mtu ananikodolea macho dah
unafaa kuwa ripota
kwani umepaaa?
zawadi gan mpwa
Heh !!!! Kuna Mbezi digital ? hii yetu ya Kimara mitaiitaje ? msije mkaiita Mbezi analogue mtatuzeesha