nishakaa zaidi ya lisaa na hatua niliyoenda ni kutoka dstv hadi hq ya kbc mkabala na shivacom ,na hii ni njia kubwa pekee ya gari zinazoingia mjini,al hassan mwinyi road,sasa sijui hawa traffic wanaruhusu gari za kutoka upande gani,au gari zimejaa mjini kiasi kwamba wanasubiri zipungue hili wengine tuingie