Foleni Dar es Salaam

Foleni Dar es Salaam

yaani ndo kwanza kibamba hapa,nasikia mizani gari hazipimi ili kupunguza foleni
_sijui mwanza tutafika saa ngapi
_
_
_

Dah kumbe unasafir...Mwanza labda saa 3 usiku
 
pole...kama unaweza kupita chochoro nyingine hata kama ni mzunguko mrefu sana ni afadhali kuliko ubungo mataa coz pale nahisi kuna kaibilisi kadogo

Hahahaaa kuna mtu alishawahi kumpiga picha JINI pale mataa Ubungo
 
hii foleni ni balaa tangu saa 11.47 alfajiri niko ubungo Oilcom lakini muda wote huo hadi sa hivi 12.40 ndo nimefika ubungo plaza reporting time kazin ni saa moja na naelekea mjini lakin ndio kwanza niko hapa sijui nafika saa ngapi
huyu mwajiri atachoka kunielewa

mabasi yanayotoka stand kuu nayo yanaenda kupitia kule shekilango inazidi kuongeza msululu wa folen


nataman hata kupaa kwa kweli

Kuna umuhimu wa kufikiria juu ya matumizi ya baiskel
 
Mi ndio natoka kibamba nakuja posta nipite wapi maana mnanitisha
Mkuu cjui umefika wapi, ila ukifika kimara ingia barabara ya mwendo kasi, njoo nayo mpaka kona kisha subr folen uunge kuja town, leo folen inaanzia resort, hyo mpaka ubungo... Pole m imebidi ntumie njia hyo nshafika ofcn japo kwa kuchelewa..
 
Kwa bahati nzuri serikali ya CCM iko katika "mchakato" wa kutatua hili.

yaah..,serikali sikivu ya ccm ishasikia kilio chao italimaliza tatizo soon..,
coz ilikuwa bize kumalizia kuhamisha fedha kutoka akaunt ya escrow..,
si mmeona na nyinyi..., wachawi na wenye wivu wa kike walishaanza kuzipigia kelele
...,
teh teh teh teh teh...:loco:
 
Wewe Ndio unaishi Kimara? Halafu umehamia hivi karibuni? Na jina lako la JF linaanzia na herufi H? Nimeuliza tu
 
Yaani leo ilikuwa hatari pale Ubungo,mimi nilikuwa nawahi ndege ya asubuhi saa 07h00 nimefika kwenye foleni ya Ubungo saa 05h10 nimetoka pale Ubungo saa 06h10.Yaani imagine eti nipo foleni pale tena kwa mbele kidogo ya kituo cha Rombo eti nakaa saa nzima na madakika.Yule trafiki wa leo asubuhi pale Ubungo ni ms.nge sana kazi zimemshinda mpaka kidogo nichelewe safari yangu.
siku nyingine ukiwa na safari uwnja wa ndege
amka kitandani saa 8 usiku ili kuwahi ndege ya saa 1 asbh..
kaka au ulijisahau kuwa upo ulaya..,hii Dsalaaaam bhana..,
 
Daaa..! mkuu huyo jamaa naye ni nouma kama aliona jini na akapiga picha basi naye ni mtata.

Planet+Thaleem+2013+-+grey+wastes.jpg
 
Bora mi nipo kijijini foleni naisikiaga kwenu tu
 
Dar ni shida tabu tupu,,,, bora mie huku foleni naziona kwenye tv tu.
 
poleni mnaopenda muda wote kufata njia kuu hata kama ina matatizo. Mi natumia hiyohiyo moro road lakini michepuko kwangu ni dili na nawahi mjini!
 
siku nyingine ukiwa na safari uwnja wa ndege
amka kitandani saa 8 usiku ili kuwahi ndege ya saa 1 asbh..
kaka au ulijisahau kuwa upo ulaya..,hii Dsalaaaam bhana..,

Unajua mimi nikiwa nasafiri huwa nakula boda ya Kinyerezi bwana,sasa nilivoona ndege ni ya saa moja na nimewahi kuamka saa kumi na dakika 45 ndiyo nimechomoka home sasa nikajidanganya eti nimewahi foleni na pia kwa kuwa eti ndege ni saa moja nikaona eti siyo issue na wife akanishabikia mbaya,weeeeeeeeee kufika Ubungo nimetamani ninyanyue gari juuu niibebe sema kusema ule ukweli leo hakukuwa na foleni ya kucheck in otherwise ilikuwa imekula kwangu maana nimeingia JNIA saa 06.25 ila nimepata somo next time sidanganyiki na njia ya Ubungo tena,STRABAG wachawi tu wanatutengenezea balaa badala ya barabara
 
Back
Top Bottom