William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #21
Nashukuru sama Field marshall hasa hasa kwa wasifu wa Patrick Balisidya. Nillikuwa napenda sana jinsi muziki wake ulivyokuwa na asili ya Kitanzania, hakuwa naiga mziki wa Zaire kama baadhi ya wanamuziki wa kitanzania wa miaka ya 70. Siku hizi hatuna hayo utafikiri hatuna utamaduni wetu, hakuna mtu mwenye guts za kuanzisha kitu original ( Naelewa naelewa kuwa labda ukianzisha mziki kwa ajili ya art hutapata pesa lakini wakati mwingine ni vizuri kujitoa mhanga)
Wimbo mwingine mzuri wa Balisidya ni ule aliomtungia dada yake siku ya harusi. ( kuoana ni jambo lasifa nafikiri ulikuwa ukianza hivyo)
Lunalo,
Huyo dada yake na yeye ni siku nyingi ni Marehemu. Wakati akikaa Korogwe, ilikuwa nikienda kwake basi anatuwekea album za "kaka yake". Ila nilikuwa sijawahi kumuona hadi tulipohamia wote Dar na tulipoenda kwake ndiyo akatuambia huyu ndiyo Patrick. Siku hizo dada mtu anafahamika zaidi kwa jina May Materu hadi alipotunga kitabu na kujiandika "Ndanao Balisdya".
Nashukuru kwa hilo, ndiyo namfahamu nilikuwa mlimani wakati akifundisha na niliwafahamu baadhi ya rafiki zake ( ambao nadhani unawafahamu waalimu mashuhuri wa kiswahili na theatre Arts pale milmani) siko comfortable kutaja majina yao na hata jina la marehemu dada ya Patrick. Ilijulikana kama angekufa kwa hiyo hao marafiki walikuwa wana huzuni sana siku za mwisho. Alikuwa jasiri sana, alipotoka matibau aliweza sikumoja kushiriki katika moja ya maonyesho ya Paukwa group ( akiwa mmoja wa P.wanasanaa walioonyesha siku hiyo, nadhani mchezo ulikuwa Lina Ubani by P. Mlama)
- Wakuu vipi huku? Ni vyema sometimes tukawakumbuka wanamuziki wetu Africa, unajua majuzi nilienda huko Ma-Broadway kuona ile paly maarufu sana sasa hivi ya Fela, ambayo iko sponsored na PDidy akishirkiana na Jay-Z, what a play ndio nikaona kuwakumbuka wanamuziki wetu ni halali
sana.
- Tuanze na Mbaaraka Mwinshehe, hapa chini.
Respect.
FMEs!
Nashukuru kwa hilo, ndiyo namfahamu nilikuwa mlimani wakati akifundisha na niliwafahamu baadhi ya rafiki zake ( ambao nadhani unawafahamu waalimu mashuhuri wa kiswahili na theatre Arts pale milmani) siko comfortable kutaja majina yao na hata jina la marehemu dada ya Patrick. Ilijulikana kama angekufa kwa hiyo hao marafiki walikuwa wana huzuni sana siku za mwisho. Alikuwa jasiri sana, alipotoka matibau aliweza sikumoja kushiriki katika moja ya maonyesho ya Paukwa group ( akiwa mmoja wa P.wanasanaa walioonyesha siku hiyo, nadhani mchezo ulikuwa Lina Ubani by P. Mlama)
Huyu mama walikuwa marafiki sana na dada yangu miaka hiyoo. Infact alikuwa kama dada yake/mtani wake kwani wakati marehemu sister akianza kazi Roleza, huyu mama alikuwa hapo tayari. Ila tulipohamia Dar, nilikaa mwaka mmoja na nikarudishwa kijijini huko Sikonge. Kutoka hapo sikufanikiwa kumuona tena. Mikiki ya maisha ilifanya wakapoteana hadi alipokuja kupata PhD na akawa amerudi Tanzania akiwa tayari mgonjwa. Alianza kutafuta contact za rafiki zake wote. Basi wakawa wakiona tena karibu kila siku.
Hivyo, hao walimu wa UDSM kusema ukweli wengi siwafahamu na kwa sababu sikusomea hapo, na sikusoma masomo ya ARTS, siwafahamu. Hiki kitabu chake na cha huyo Mlama kama sikosei tulitumia kwenye Kiswahili mtiani wa form 4. Ilikuwa ni hadithi ya kijana wa Kigogo aitwaye Chonya of Chilonwa.
Turudi kwenye wanamuziki:
Lovi Longomba ni mwanamuziki wa Kikongo ambaye baba yake pia alikuwa mwana muziki kwenye kundi la Franco and TP OK Jazz. Lovi alikuja kuishi Tanzania na baadaye akahamia Kenya na mwisho akarudi tena Tanzania hadi alipokuja kupata ajali na kufariki. Watoto wake ni hawa wanajiita LONGOMBAS na mdogo wake ni Awilo Longomba.
Huyu jamaa alitesa sana wakati wa bendi ya Shika Shika na baadaye kuwa SUPER MAZEMBE. Super Mazembe nilifanikiwa kuja kuwaona walipokuja Dodoma miaka ya 80 mwanzoni. Ilikuwa furaha kusikiliza wimbo wa Kasongo, Nanga, Nabimakate na nyingine nyingi.
lla hawa jamaa nao naona walikuwa waki-copy. Ila copy yao kwa kweli imeniuwa maana walienda wakawacopy THE BEETLES. Hebu sikilizeni wimbo huu...................
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=pzAsLAfqmVk[/ame]
Lunalo,
Huyo dada yake na yeye ni siku nyingi ni Marehemu. Wakati akikaa Korogwe, ilikuwa nikienda kwake basi anatuwekea album za "kaka yake". Ila nilikuwa sijawahi kumuona hadi tulipohamia wote Dar na tulipoenda kwake ndiyo akatuambia huyu ndiyo Patrick. Siku hizo dada mtu anafahamika zaidi kwa jina May Materu hadi alipotunga kitabu na kujiandika "Ndyanao Balisdya".
Kuhusu Patrick kuiga miziki ya watu wengine hili hadi leo linanipa shida. Labda mkuu FMes anisaidie hapa. Kuna wimbo aliimba "tufurahi jama, tufurahi weekend ehh". Huu wimbo umefanana sana yaani kasoro maneno tu na lugha na wimbo wa Caiphus Semenya & Letta Mbulu uitwao everybody sing along. Huu unaweza kuusikiliza hapa: http://www.amazon.fr/Thalassa-collection-Afrique-Sud-Cap/dp/B00005UV78
Sema ni kipande cha 30 seconds tu ila utausikia. Album hii ya mama Mbulu na mumewe ni ya mwaka 1980 http://www.discogs.com/Letta-Mbulu-Sound-Of-A-Rainbow/release/1527293
Kuna wimbo ambao nimegundua juzijuzi kuwa Marijan Shaaban alichukua beats zake ni huu hapa chini. Huu unafanana sana na wimbo wa Mayasa unavyoanza.
http://www.youtube.com/watch?v=MSrklNeDwNM
Ngoja chini na mie nichangie mwanamziki mmoja: hmmm!!!
Akizungumza katika kipindi cha bambataa leo alhamis maalim huhidini gurumo, amekiri kuwa yuko mbioni kuacha muziki kwa kuwa umri sasa umeenda sana na anafikiria kufanya mengine katika familia yake ila yoyote atakae kuwa tayari kutaka ushauri kuhusu uimbaji atakuwa tayari kumsaidia kimawazo ikumbukwe kuwa gurumo alianza muziki mwaka 1961, na kupitia bendi tofauti tofauti.
naweza kusema kweli ni nguli wa muziki nchini,au kwa lugha ya wenzetu wanasema legendery. Mzee Gurumo amekaaa kwenye sanaa hii akiwa na miaka ishirini na moja tu,sasa piga hesabu leo hii ana miaka mingapi?na bado anadunda kwenye fani..... amepita pia katika bendi tofauti nyingi tu ikiwemo ya msondongoma ambayo amedumu kwa miaka takriban 29 swali linabaki kuwa atakapo jiuzulu na kwenda kupumzika bendi ya msondo itakuwaje kwakuwa yeye ndie kiongozi aliedumu na bendi hiyo kwa muda mrefu unadhani ndio kufa kwa bendi au?
FMES...hii thread muhimu sana ..itafanya vijana wajuwe kuwa sisi ndio tuliokula raha....
mimi naomba kuwashirikisha KINGI [king] ENOCK...huyu alikuwa mwalimu maarufu wa muziki aliyeifanya sikinde ipige muziki ulioenda shule..yeye mwenyewe akipiga SAX....
Enzi hizo sikinde wanalo basi lao.....kila weekend jioni lilikuwa likisomba mashabiki na kuwapeleka kula raha DDC MLIMANI PARK...[Ndio oposite na mlimani park mall ya sasa]...
Lunalo,
Huyo dada yake na yeye ni siku nyingi ni Marehemu. Wakati akikaa Korogwe, ilikuwa nikienda kwake basi anatuwekea album za "kaka yake". Ila nilikuwa sijawahi kumuona hadi tulipohamia wote Dar na tulipoenda kwake ndiyo akatuambia huyu ndiyo Patrick. Siku hizo dada mtu anafahamika zaidi kwa jina May Materu hadi alipotunga kitabu na kujiandika "Ndyanao Balisdya".
Kuhusu Patrick kuiga miziki ya watu wengine hili hadi leo linanipa shida. Labda mkuu FMes anisaidie hapa. Kuna wimbo aliimba "tufurahi jama, tufurahi weekend ehh". Huu wimbo umefanana sana yaani kasoro maneno tu na lugha na wimbo wa Caiphus Semenya & Letta Mbulu uitwao everybody sing along. Huu unaweza kuusikiliza hapa: http://www.amazon.fr/Thalassa-collection-Afrique-Sud-Cap/dp/B00005UV78
Sema ni kipande cha 30 seconds tu ila utausikia. Album hii ya mama Mbulu na mumewe ni ya mwaka 1980 http://www.discogs.com/Letta-Mbulu-Sound-Of-A-Rainbow/release/1527293
Kuna wimbo ambao nimegundua juzijuzi kuwa Marijan Shaaban alichukua beats zake ni huu hapa chini. Huu unafanana sana na wimbo wa Mayasa unavyoanza.
http://www.youtube.com/watch?v=MSrklNeDwNM
Ngoja chini na mie nichangie mwanamziki mmoja: hmmm!!!
Ndugu yangu Sikonge,
Kwa nini unadhani kuwa wanamuziki wetu ndio walioiga tu badala ya kufikiria kuwa huenda muziki wao uliigwa na wanamuziki wa nje. Wimbo wa Balisdya wa tufurahi na weekend ulitungwa mwaka 1970 wakati wimbo huu wa Letta Mbulu uliimbwa mwaka 1980, miaka mitatu baada ya Afro 70 kufa. Huoni kuwa kama kuna uigaji basi utakuwa ulifanywa na huyu Mbulu?
Vile vile wimbo wa Mayasa ulipigwa kati ya mwaka 1979 mwishoni na mwaka 1980 mwanzoni, lakini wimbo huu wa wa Byron umepigwa mwaka 1984. Siyo tu kuwa nyimbo hizi mbili hazifanani kabisa kwa vile Byron kama walivyokuwa wanamuziki wote wa visiwa vya Trinidad na Tobago, kama Lord Kitchener na Arrow, alikuwa akiimba katika mtindo wa Soca yenye matarumbeta ya nguvu sana wakati Mayasa umeimbwa katika Afro rumba yenye magitaa ya umeme mengi sana. Utakuwa humtendi haki Jabario lka mziki ukiseama kuwa alikopi wimbo huo.
Kichuguu,
Ndiyo maana nikauliza kwa sababu moja kubwa sana. Nilikuwa sifahamu/sikumbuki ni mwaka gani hizo nyimbo zimepigwa. Inawezekana kabisa jamaa wakawa wameiga wao kama walichukua baada ya miziki ya Tanzania au hata wote wakawa waliiga kutoka kibendi fulani kidogo sana.
Ule wimbo wa Mayasa vs Byron nilisema ni kile KIPANDE CHA MWANZO tu kama 20 seconds za mwanzo. Kule mbele hazifanani kabisa kabisa.
Wimbo ambao hadi leo nina uhakika Koffi Olomide ali-copy ni huu aliimba Max Bushoke sina uhakika na bendi gani ila anaimba "Kiu ya jibu mamaa, ndiyo inisumbuaayo. Natafuta jibu litakalonirushia? furaha, nimechoka kulala macho na kuota ndoto za alinacha...." Huu pekee nina uhakika kuwa ulipigwa kwanza Tanzania na baadaye Koffi akaja akapiga.
http://www.youtube.com/watch?v=jfoxX7jZwtc&feature=related
(Anzia 0:20. Beats zake ni sawa kabisa na huo wa Chidumule. Labda ni bahati mbaya).
Kwa Koffi Olomide, hii album yenye wimbo huu (Noblesse Oblige) kwangu inbaki milele kuwa THE BEST OF KOFFI OLOMIDE. Ila kila album kulikuwa na wimbo wa kukata na shoka. Kama Civilise, Coucou, Loi, etc////