FMES: Tuwakumbuke Wanamichezo Africa!



- Blaize Bula, another former Wenge BCBG na yeye ana bendi yake majuzi ametoa kibao kikali sana, "Balia ngando" saafi sana.

Respect.

FMEs!

Kuna habari zake nyingi wameandika kwenye hii site.
http://vibesdafrique.proboards.com/index.cgi?board=2&action=display&thread=798

Naona siku hiyo, jamaa zake wengi walikuja kumpa suport kama wanavyoonekana hapa kwenye picha. Hii vaaji yao imenikosha hasa ukimuangalia na yeye mwenyewe hiyo suruali na Mkanda, na kikofia na malizia MKUFU/MNYORORO wake uliowekwa KIKUFULI.

 

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=Bxn947cE4IY"]http://http://www.youtube.com/watch?v=Bxn947cE4IY[/ame]

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=Af6eV80ypAc&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=Af6eV80ypAc&feature=related[/ame]
 
Joseph Kabasele: The Father of Zaire's Music. Congo DRC.








Respect.


FMES!
 
HIVI HUYU NDIYE baba ake na ALLEN KABASELE wa akudo?
 
RIP mzee ndala Kasheba.....muziki unakumiss sambamba nasisi wapenzi wamuziki.
 
Papytex: Musician Icon Zaire, Congo DRC.


<table border="0" cellpadding="3" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr style="background-color: rgb(204, 102, 0); color: white; font-weight: bold;"><td colspan="2"></td><td>
</td><td>
</td></tr><tr> <td class="trkN">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> </tr><tr> <td class="trkN">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> </tr><tr> <td class="trkN">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> </tr><tr> <td class="trkN">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> </tr><tr> <td class="trkN">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> </tr><tr> <td class="trkN">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> <td class="trsong">
</td> </tr><tr> <td colspan="3" style="font-weight: bold; color: rgb(204, 102, 0); font-size: 10px;" align="right">
</td></tr></tbody></table>
 
Kanda Bongo Man



<!-- Start Quantcast tag --> <script type="text/javascript"> _qoptions={ qacct:"p-54JT4Ioyi-32M", labels:"Entertainment.Music,Network.6767" }; </script> <script type="text/javascript" src="http://edge.quantserve.com/quant.js"></script> <noscript> </noscript> <!-- End Quantcast tag --> <!-- end Undertone Ad Tag for INT05 - Medium Rectangle (300x250)-->



[SIZE=+3]Kanda Bongo Man[/SIZE] <!--DWLayoutTable--> <table align="center" border="1" cellspacing="6" width="777"><tbody><tr><td background="background.jpg" width="148" height="869" valign="top">
</td> <td class="profilebody" width="284" valign="top"> A very well-known vocalist, dancer and composer, Kanda was born in Democratic Republic of Congo. He grew up listening to the sounds of Grand Kalle, Franco and other great stars of that time and also enjoyed singing with his friends. When he was 18 years old he got the chance to sing in the Bella Mambo band alongside Soki Dianzenza. At one point Kanda and some other members left that band and formed Orchestre Bana Mambo in 1976. That band played for 2 years then Kanda decided to leave and live in Paris. While doing casual work to support himself he met a record producer and this resulted in his first album, Iyole. His next albums came in 1982 and 1985 entitled Djessy and Malinga respectively. Key musicians who played in Kanda's band include Diblo Dibala, Rigo Star and Miguel Yamba. Kanda and Diblo worked as a team together on many compositions but they have now gone separate ways. Some of Kanda's most popular songs being the now classics 'Sai', 'Muchana' and 'Jesu Christo'.
Internationally Kanda Bongo Man is the king of the highly infectious guitar-led Congolese soukous music. He is also responsible for his own special dance brand, known as kwassa kwassa. He first performed in Britain at WOMAD in 1983 and has been on numerous prestigious stages in United States such as Central Park and the

</td> <td width="307" valign="top">
[SIZE=-1]
[/SIZE]

Reggae on the River festival in California. Other countries to which Kanda has taken his dance formula are Australia, Canada and South Africa. His songs are popular all over Africa as well.
Now based in Britain, Kanda has entertained audiences at the Royal Festival Hall, the Forum, Glastonbury, Liverpool, another appearance at WOMAD Reading in 2002, and on Jool's Hollands' Later ... on BBC2 TV. Most recently he was part of the 'Live 8 Africa Calling' event at the Eden Project in Cornwall in 2005 (see photo above).

Listen out for that melodious, lilting shimmering sound together with brilliant dancers, fashionable outfits and see trademark round-brimmed hat
worn by the one and only Kanda Bongo Man! Also visit the web site Kan
</td></tr></tbody></table>
 
Soki vangu: Zaire Icon Musician.

Artist : Orchestre Bella Bella Des Freres Soki

<table border="0"><tbody><tr><th>
</th><td>
</td></tr></tbody></table>






Respect.


FMEs!

<table style="width: 679px; height: 771px;" border="0"><tbody><tr><th>
</th><td>
</td></tr></tbody></table>
 
Ahaa, wazee menikumbusha long kitambo, enzi hizo nipo mikoa ya kusini mwa Tanzania, station ya radion in RTD tu lakini unaweza kukamata Redio Malawi toka Lilongwe. Unasikiliza wanamuziki machacahri kama John Chibadula & TEMBO BROTHERS wa Zimbambwe.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=ctCNUyKL1uA[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=AtvXur8RSy0[/ame]








Kwassa-Kwassa - Empire Bakuba (aaaachaaa!)

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=8fcQoCdt8IE&feature=related[/ame]

Namkumbuka sana Emoro
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=oF_laWBXd2c&feature=related[/ame]
 
Miriam Makeba - R.I.P
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=BHgKcPP6yK0&feature=fvw[/ame]
 


- Kazadi Mwamba, (Aliyeinama) mmoja wa makipa waliowahi kuwa maarufu sana katika Africa in the 70s, ingawa katika mechi moja kule kwenye World Cup ya mwaka 1974, ambako Africa kwa mara ya kwanza iliwakilishwa na Zaire, alilishwa magoli 9-0 na timu ya kocha wao kutoka Yugoslavia.

- Lakini bado alikuwa ni kipa imara sana, nafikiri kuna tuliokuwa wote enzi zile kwenye uwanja wa maonyesho ya Saba Saba, kwenye banda la West Germany, tulipojionea live hii michuano, hili banda lilikuwa pembeni mwa banda la Sheik Yahaya, ambapo na yeye alikuwa video za bendi ya Super Mazembe na Lipua Lipua na hasa kile kibao cha "Mfuweni" na "Seki Zengi" pale kwenye banda lake,

- Unajua enzi hizo bongo tulikuwa tumezimishwa sana na hawa wa-Congolese, I mean kila dogo alikua akijaribu kuonekana kama Boma Liwanza design hivi ndio unaweza kupata ujiko na mademu, ambao enzi hizo tulikuwa tunawaita ma-denish, ilikuwa lazima uweze kuuimba kama huu wimbo wote wa Mfuweni bila tatizo ndio kuonekana cool mbele ya ma-denish, ngoja niwape kidogo kile kibao cha mfuweni bado sijasahau:-





- Bwa! haa! I mean this is hillarious, unajua ki-Congo kinapanda sana mpaka leo kwa sababu ya kushinda nao sana, yaani ngoma zote za wakati ule zinapanda aaahhhgrrr! lakini ilikuwa for really, naona siku hizi unatakiwa uwe mkali wa Rap hivi, au? Bwa! ha! yaani leo nimekumbuka mbali sana!

- Kesho nitalimwaga "Seki Zengi"

Respect.

FMEs!
 



- Papa Noel naye pia ni another Icon wa muziki wa rhumba huko Congo, DRC, ambaye amewahi kuwa karibu sana na Mzee mwenyewe Massiyah Lutumba Simaroo, hasa walipokuwa pamoja na TP OK Jazz,

- Noel amewahi kupiga kibao kisichochujika kwa jina "Nalali na butu cherri", ambacho pia kilirudiwa na Lutumba Simaroo akishirikana na Madjamuana na pai walishirikiana wote kwenye kibao cha "Soweto".

Respect.


FMEs!
 
COSMAS CHIDUMULE:From secular to gospel music, Tanzania.





COSMAS CHIDUMULE

Respect.

FMEs!
 
HUYU NDIYE JUMA SALUM MBATIANI(JUMA UBAO) KING MAKUSA: Tanzania.



- Wakuu huyu mkongwe zamani alikuwa akinikuna sana, hasa alipokuwa na Biashara Jazz wana Kumbakisa, Imejipa, kuna kipindi yeye na Hamisi Kumbakisa wali-team pamoja kabla Hamis hajaingia Sikinde, kwa kweli Kumbakisa ilikuwa moto sana, sauti ya Hamisi ilikuwa nashindana na Roy wa Bima Lee, na Gwiji Bitchuka.


- Juma Ubao, aliwahi kupiga vibao kama "Mfa maji", "Salama" na "Kasome Paule", nakumbuka enzi hizo wao yaani Biashara Jazz, Kimuli Muli enzi za Zahir Zorro baba yake Banana, UDA Jazz na Vijana Jazz ya Maneti, walikuwa kila week end wanapigaa pale Banana Bar, Airport ambako tulikuwa hatukosi huko, I mean ninamkumbuka sana Ubao na hasa enzi za Salamander maana alikuwa hakosi pale!


- Long Live Ubao King Makusa.



Respect.


FMEs!
 
Hawa wana muziki nafikiri hamna haja ya kuandika chochote juu yao kwani habari zao zinapatikana kila kona kwenye mtandao. Kidjo namsifia kwa kuimba lugha nyingi na anaimba safi sana. Kuna siku nilimuona akiimba MALAIKA bila ya kushika karatasi na alikuwa akiimba safi kabisa yaani kile Kiswahili haswaa...

Hapa chini nimeweka wimbo wa SET ambao kwa haraka haraka nimegundua kuwa bibie SHAKIRA sijui aliiga au ilitokea tu na yeye kuwa na wazo hilo maana wimbo wake umekaa kama huu wa SET na radha ya Samba la Brazil.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=mmOA9Yril0E[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=uztpo_PNmFA[/ame]
 

Mkuu FMes,

Tupo pamoja sana hapa. Ila sema hii lugha imenipita kushoto. Hivyo huwa hata sifahamu wanaimba nini. Ila huwa nafahamu hapa wataimba na hapa kifaa gani kitapigwa hata kama kuna makosa. Ngoja niweke wimbo wenyewe ili watu wajikumbushe na maneno hayo juu...

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=1bePe1Sckq4&feature=related[/ame]
 

- Mkuu wangu Sikonge tupo pamoja sana, hiki ni kibantu tu mkuu huhitaji kuumiza kichwa maana yake ni kwamba hawa Orch. Lipwa Lipwa walienda West Africa kutembelea hiyo miji ya Abidjani, Togo, Monrovia na Feeetown, sasa kule walipokewa vizuri sana na mashabiki wa muziki, huko West majina ya Ibrahima na Tourre ni mengi sana, sasa kwenye huu wimbo jamaa wanajaribu kuwaomba kina Ibrahima na Tourre waende kwenye shoo ya Lipwa Lipwa, kuwaona wapigaji wao kama Vata Mombasa, (Rythm), Nzaya Nzayadjo (Sax), na Tonnele (Trumpet), Mbumbi Malanda (Lead Voice), Mongoley (Solo), Nsayi Nono Kuka (Drums), Malanda (Bass), Dimwanza (Second Voice) na wengineo kama Manza (Sauti Nyembamba) na Kilola Kitoko Kiangani ( Singer), Pannana (Trumpet), Mbuta Benanzoo (Sax).

- Kwa kifupi huu ni kama ule wimbo wa Maneti na Vijana Jazz walipoenda Bujumbura na wao in a sense ilikuwa kuwashukuru watu wa West Africa, tuendelee kujikumbusha zamani mkuu, leo niliahidi kuachia "Seki Zengi" Orch. Lipwa Lipwa here we go:-




- Anyways, heshima mbelee wakuu I mean I love it kesho nitaachia "Mikolo Mileki Mingi" ya Orch. Veve! na keshokutwa nitaachia 'Mbondo" ya Lipwa Lipwa.

Respect.

FMEs!
 
Abdallah Kibaden "King": Soccer Icon Tanzania.







- Abdallah Kibaden "King", wa tatu toka kushoto, akiwa na timu yake ya Simba, ni mchezaji wa zamani aliyekuwa maarufu sana enzi hizo kutokana na uchezaji wake na hasa ufungaji wa magoli. Ni mmoja wa wachezaji wachache sana wanaokumbukwa kutokna kazi kubwa waliyoifanyia taifa akiwa na timu ya taifa, kwa sasa Kibaden ni kocha wa timu maarufu sana jijini ya Manyema FC.

Respect.

FMEs!

 
- "Mikolo Mileki Mingi" the song:-



Respect.

FMEs!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…