Mimi nabisha.
Hizi fly-overs hazigharimu sana kama viongozi wetu wanavyotaka kuamini.
Mnakumbuka swla la kujenga barabara za lami, viongozi wetu walituhadaa na kufanya tuamini kuwa kilomita moja inagharimu Tzs. billioni moja. Baadaye Mwakyembe alivyiongia wizarani akasema kilomita moja inagharimu Tzs. millioni 700 tu.
Hivyo, viongozi wanatuaminisha kuwa hizi fly-overs ni gharama sana, ila sio hivyo.
Ukienda South Africa utaona hizo fly-over kibao. Na Tanzania ni tajiri sana wa mali asili (mafuta, gas, dhahabu, tanzanite, national parks, ardhi nzuri kwa kilimo, mito mingi kwa ajili ya umwagiliaji na kufua nguvu za umeme, nk.) kuliko South Africa.