Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Hahahaaa Uncle Sam don't play.

Sijui ilifikia wapi lakini nadhani labda wali-settle kwenye payment plan.

Nimemsikia Jim Lampley hapo anasema cable providers wanaripoti kuwa systems zao zimekuwa jammed....

Time Warner, kina HBO wanasema watu hawapokei feeds, hivyo wanashughulikia
Inaonesha traffic ni kubwa sana kwenye kuangalia hivyo wamezidiwa
 
Wakuu Hacheni Porojo Aisee Tupeni Updates Bhana.Tumechoka Na Hizo Porojo
 
Wamechelewesha onesha sababu PPV inasumbua, watu wengi kuliko walivyotegemea
 
Watangazaji wanambwembwe utafikiri wanakula viroba vya zambia
 
Watz na ujinga wenu mumetulaza macho ohooh pambano saa tisa tisa kumbe ni saa moja asubuhi nyambafu zenuuuu.....! Mumenikera sana!
 
​Magic Johnson in da house.
 
Time Warner, kina HBO wanasema watu hawapokei feeds, hivyo wanashughulikia
Inaonesha traffic ni kubwa sana kwenye kuangalia hivyo wamezidiwa

Hiyo inaweza kuchelewesha pambano kuanza kwa sababu it's all about the money.

Na ndo maana sasa unaona promotional material na interviews tu.
 
Back
Top Bottom