kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,980
Ni mwana wake Sanapembeni kulia picha ya pili juu namuona 50 cent ...vp asee ameisoma namba mpaka kaamua kudoea kwa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwana wake Sanapembeni kulia picha ya pili juu namuona 50 cent ...vp asee ameisoma namba mpaka kaamua kudoea kwa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu ni mabest friendspembeni kulia picha ya pili juu namuona 50 cent ...vp asee ameisoma namba mpaka kaamua kudoea kwa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi utakuwa umesahau ngumi anazopigana zina sheria lakini za mtaani huwa hazina sheria hata mawe au kung'ata ni wewe tuSasa na ubabe wake wa boxing hao mabaunsa wa nini....
Kumbe naye muogaee, mtaani anaufyata!!
Ubabe ni ubabe tu...Nahisi utakuwa umesahau ngumi anazopigana zina sheria lakini za mtaani huwa hazina sheria hata mawe au kung'ata ni wewe tu
Walinzi ni lazima kwa sababu za insurance pia.Mtu kama Mayweather lazima yuko insured akidhurika kidogo lazima alipwe.Wenzetu hata uwe mbabe vp lazima uwe na walinzi. Ndio maana hata rais Vladimir Putin pamoja na umasta wake wake wote lazima atembee na walinzi thou kuna kipindi hua anawakazia anaenda porini mwenyewe kujinoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa mkuuWalinzi ni lazima kwa sababu za insurance pia.Mtu kama Mayweather lazima yuko insured akidhurika kidogo lazima alipwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unacheza na kitaa mkuu, kwani si kuna bondia hapa bongo alijifanya mbabe hadi kitaa wakamuua au huna habari? nimemusahau jina lake lakini alikuwa maarufu sana kwenye masumbwiUbabe ni ubabe tu...
Ukiwa mbabe ulingoni na kitaa inabidi uwe mbabe, siyo ukitishiwa na chelewa unaufyata...