white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,318
- 2,489
50 cent kavaa kofia nyekundu hapo picha ya pili
50 cent kavaa kofia nyekundu hapo picha ya pili
Unaweza kukuta mwili iveco ila moyo VolkswagenSasa hao majamaa sio ndio wawe maboxer .Kweli so bongo tu ,hata mbele hawajui kutumia fursa
Hahaha tatizo mbele manati adimu mkuu labda maeneo kama texas kwa wafugajiHapo ili kupata sifa unamfyatua manati kwenye para lake!! Hao mabaunsa unatoka nao nduki then unageuka unawakata mawe ya uso!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe pepe kale bado yupo!!!
Kukusaidia Tu hajafilisika alifoji kufilisika ili mzazi mwenzie walieachana apate mgao kiduchupembeni kulia picha ya pili juu namuona 50 cent ...vp asee ameisoma namba mpaka kaamua kudoea kwa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Street fight huyo hata mzee wangu anamuondoa, mi ndo kabisaaaaaa.Sasa na ubabe wake wa boxing hao mabaunsa wa nini....
Kumbe naye muogaee, mtaani anaufyata!!
'Foght' ni nini mkuu umeniacha kidogoStreet foght huyo hata mzee wangu anamuondoa, mi ndo kabisaaaaaa.
Hahaaa...ngoja nijiandae atakapokuja bongo nimchimbe mkwara!Street foght huyo hata mzee wangu anamuondoa, mi ndo kabisaaaaaa.
Nimekuacha ila umeelewa!