Flat screen zenye internal receiver

Kwa wanao jua bei ndogo kabisa ya smart TV ni sh ngapi kwa dsm bila kujali size na brand yake.
Pia flat ya nchi 32 inaweza kupatikana kwa sh ngapi minimum price kwa dsm.
 
[quote uid=334306 name="sansam100" post=14875364]Ndo nichokueleza najua vimeludi na ninafanyakazi hapo we ndo hujui chochote unadanganya watutu eti magaidi wamelipua wacha uongo[/QUOTE]<br />Ninaomba msaada kwa nini kwa sasa channel nilizokuwa naangalia kupitia continental hazionekani tena nikisearch zinaniambia no ci module inaishia kuandika mfano itv no ci module je naweza kufanya nini ili kuzipata upya hizo channel king'amuzi ni kile kilichoundwa moja kwa moja ni kuunga tu antenna na kusearch. Tafadhali Msaada wadau!
 
Je uko wapi?
Nipo Dar, mbezi naomba msaada kwa nini kwa sasa channel nilizokuwa naangalia kupitia continental hazionekani tena nikisearch zinaniambia no ci module inaishia kuandika mfano itv no ci module je naweza kufanya nini ili kuzipata upya hizo channel king'amuzi ni kile kilichoundwa moja kwa moja ni kuunga tu antenna na kusearch. Tafadhali Msaada wadau!
 
Mkuu nipo mbezi Dar,Ninaomba msaada kwa nini kwa sasa channel nilizokuwa naangalia kupitia continental hazionekani tena nikisearch zinaniambia no ci module inaishia kuandika mfano itv no ci module je naweza kufanya nini ili kuzipata upya hizo channel king'amuzi ni kile kilichoundwa moja kwa moja ni kuunga tu antenna na kusearch. Tafadhali Msaada wadau!
 
Kwa sasa channel zinapatika kwa wale tu wenye official decoder za kampuni husika.
Ni kweli kwa muda mrefu tulikuwa tukitazama kwa decoder yeyote ile ya MPEG4 kwa upande wa S2 na kwa kutumia antena ya kawaida kwa wale wenye T2 enable receiver kama iliyo katika tv yako.
 
Ahsantee mkuu kwa hiyo tunalazimika sasa kununua ving'amuzi hakuna namna yoyote ya kutumia hiyo internal receiver hata kama kwa kulipia kwenye hayo makampuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…