Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
me nilinunua mlimani city mwaka jana mwanzon ilikuwa inauzwa laki tisa so sifahamu kama itakuwa imepungua,hiyo ya laki sita itakuwa magumashi aka mdosho
hiyo naona iko vzr ila hapo nafikiri inatakiwa kujipanga vzr kimfuko binamutz
Usikurupuke soma mjadala vizuri uelewe... Wapi pamezungumziwa Smart TV? Ameuliza kuhusu Flat Screen yenye internal receiver.
Smart tv lk6 wapi wp? Mm Nahuatl inch 32 ni2,m
Hata hivyo sidhani kama utapata chanel za maana hasa za mpira, na huyo anayepata chanel 200 za bure aweke wazi anapata chanel zipi kama si uongo. Nakushauri nunua decoda yoyote mpg4 na dish lako basi utapata chanel za bure kibao
mkuu je ikiwa inch 24 ufanisi utapungua? msweet
mkuu ninayo no yako then acha kusema uongo wakati huna evidence ,inshort napata package ya ting yotee,napata continental yote na kuna channel zingine kama tv5 monde na kina tvm,cam zipo na nyingine kibao hazipo kwenye package za vingamuzi vya bongo ukitaka ntakutumia ushahid wa picha
Nimekusoma kaka. Lakini kama ni mpenzi wa mpira tumshauri anunue mpg4 yenye bisskey na dish ili apate chanel kibao za mpira
yaah hapo me pia nimekuelewa.me mpira huwa nacheki tv monde,ait,fox sport 2 na beinsport but sio game zote zaonyeshwa ni kweli kama anapenda mpira atafute mpg4 yenye bisskey
Bei gani hiyo mkuu?tafuta samsung series 5 led au series 6 40 inches hutajuta mkuu ni burudani balaaa
iyo mpg4 ni kiasi gani kwa sasa???
Nawashukuru sana wote mlishiriki kutoa uzoefu wenu juu hili jambo nililo ombea ushauri..kwakweli mm sio mpenzi wa mpira nafikiri hz screen ztanifaa wasiwasi wangu ni kwamba mm nipo Tarime cjui kama itashika chennel nyingi.
Nawashukuru sana wote mlishiriki kutoa uzoefu wenu juu hili jambo nililo ombea ushauri..kwakweli mm sio mpenzi wa mpira nafikiri hz screen ztanifaa wasiwasi wangu ni kwamba mm nipo Tarime cjui kama itashika chennel nyingi.
Nchi 32 bei gan mkuu?
Mi nimewaambia hiyo bei wanasema itakua fake
- SAMSUNG LED SERIES 4 utapata kwa tsh 600'000 /-
- Utapewa warrant ya miaka miwili (2)
zipo za kila aina but nzuri ni hizo zinazoedit key.zinazoedit key nikuanzia kilo na nusu na kuendelea na za kawaida ni kuanzia 70000 na kuendeleaa.mtafute njuva au mwl wakuelekeze
iyo mpg4 ni kiasi gani kwa sasa???