Baada ya kutaabika na TV la chogo takribani miaka 10 mfululizo nimeamua kubadilisha nami nihamie kwenye udigitali kama wenzangu. Nimepanga ninunue TV ya inch 32 ila sijajua ninunue aina ipi nzuri kwa sababu Sina uzoefu na uelewa wa TV hizi za kisasa , nimejaribu kufanya window shopping hizi ndo nimezishortlist Samsung,LG na Sony.
Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wataalamu wa kila aina na hii tasnia najua wapo wa kutosha hasa kwenye resolution na other technical issues. Hivyo basi naomba kujuzwa ipi TV nzuri ili ninunue kitu chenye ubora .
Asanteni sana
========
MAPENDEKEZO
Wabongo mnataka muambiwe tu nunua sony au nunua samsung wakati hilo si jibu sahihi. Kuna maelfu ya tv za samsung au sony au lg unataka kuniambia zote ni nzuri?
Hata kama tv ni ya samsung ila ikiwa na resolution ya 320x240 na panel za TFT unategemea quality itakuwa nzuri?
Hio technology ya oled na resolution ya 4k/UHD ndio latest kwa sasa usipochagua hio hata ununue brand gani duniani yenye less specs jua hutapata quality kama hio.