furaha mbughi
Member
- Mar 15, 2015
- 81
- 11
(HDMI)Hihg definition multmedia interface
Sony is the best
Baada ya kutaabika na TV la chogo takribani miaka 10 mfululizo nimeamua kubadilisha nami nihamie kwenye udigitali kama wenzangu. Nimepanga ninunue TV ya inch 32 ila sijajua ninunue aina ipi nzuri kwa sababu Sina uzoefu na uelewa wa TV hizi za kisasa , nimejaribu kufanya window shopping hizi ndo nimezishortlist Samsung,LG na Sony.
Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wataalamu wa kila aina na hii tasnia najua wapo wa kutosha hasa kwenye resolution na other technical issues. Hivyo basi naomba kujuzwa ipi TV nzuri ili ninunue kitu chenye ubora .
Asanteni sana

Samsung Ndo babalao.. ukipata ambayo ina receiver ndani pia ununue na waya wa HDMI
Nunua curved LG ni nzuri sana ima ultra HD ukipata 55" is very good ingawa utalipia pesa ndefu kidogo ka 6m hivi but it pays
Samsung Ndo babalao.. ukipata ambayo ina receiver ndani pia ununue na waya wa HDMI
Hata mimi nasubiri hapa,yangu nikiangalia ina visehemu viwili vya HDMI ila sijui vinatumikaje.
Unajua unapounganisha tv yako na ama deki au king'amuzi unatumia ule waya wenue vichwa vitatu rangi za njano, nyekundu na nyeupe? Na kama unaunganisha tv na computer unatumia waya wa vga wenye 'meno"? Basi vile vichwa vitatu kimoja hubeba picha na kingine hubeba sauti. Katika ulimwengu huu wa kisasa huhitaji kuchomeka hvo vichwa vitatu bali kichwa kimoja tu cha wire wa HDMI kinabeba mawimbi yote ya picha na sauti na katika ubora zaidi. Kwa kifupi tu HDMI cable ni mbadala wa zile wire tatu zenye rangi za njano, nyekundu na nyeupe.
Samahani naomba kuelimishwa, hiyo HDMI inafanyaje kazi?
Hata mimi nasubiri hapa,yangu nikiangalia ina visehemu viwili vya HDMI ila sijui vinatumikaje.
Channels za Azam zile Internationals zina Quality Nzuri sana Kama Fine Living na Pia Azam Two,One Quality ya Picha ni Nzuri Sana,Je zikirushwa na Mitambo ya HD si itakuwa balaaa?King'amuzi kinaweza kua ni HD ila sio lazima chanel zilizomo ziwe HD, mfano Azam ni HD lakini hakuna hata chanel moja mule ni HD.
Samsung bomb bnaaa wewe ukiinunua unapata lunch na dinner kupitia TV yako !!!!!!!