Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV


Here are some of the things you will have to look for when choosing a screen...

Contrast: Bright whites shouldn't have any signs of green, pink blue in them, while blacks should look solid and not washed out, grey, green or blue.

Colours: Look at how bright and solid they are; how noiseless their edges are; how 'dotty' richly saturated areas are and how natural skin looks, especially in dim scenes.

Fine detail: How much texture does the screen give? Does a tree look like a green lump, or can you see the individual leaves

Edges: Check for ghosting, bright halos and jaggedness, especially around curves.

Motion: Check moving objects and quick camera pans for smearing or blurring, trailing, jerkiness and fizzing dotty noise.

Image artefacts: Look for blockiness, colour bands, grain, smearing, dot crawl: anything that looks like it's added by the TV picture processing or a weak TV tuner. Tinker with a TV's picture settings before making a final decision. Factory settings are rarely good for everyday viewing.

Hii lugha ha malkia ni ngumu ndugu yangu hapo hata sijaelewa :cool:
 
Samahani naomba kuelimishwa, hiyo HDMI inafanyaje kazi?

HDMI cable ni waya unaopitisha picha High quality au HD kutoka kwenye tv kwenda kwenye king'amuzi au DVD.. ni lazima hivyo vitu vingine viwe na option hiyo ya HDMI.. waya huu ni mzuri sana na nitofauti na ule waya wenye pini tatu njano,red,na ,white... hdmi yenyewe iko moja tu kama USB vile... ni technolojia mpya inayoendana na flat screen hiz mpya...

pata picha una TV HD waya HD,Kingamuzi HD, channel unayotizama ni HD

nouma sanaaa ndo navyofanya hapa gheto
 
Umenifanya niiangalie vizuri Tv yangu, nimeona kuna sehemu ya hiyo HDMI. Ngoja nikaununue huo waya, Asante mkuu.

pamoja mkuu nafkiri watu wengi bado hawajajua technology ya HDTV with HDMI...wamezoea AV Cable ambayo ni old Technology yenye picha mbayaaaaa
 
Sony ni magwiji wa electronics kwa miongo kadhaa ni kampuni ya Japan na ubora wa vifaa vyake hauna mashaka, samsung na Lg ni wakorea wako kibiashara zaidi. Mwonekano wa nje Sansung na Lg hawajambo ila ndani kwenye PCB kitaalam ni Sony baba lao.

Nani kukuongopea kuwa now days TV ya Sony inatengenezwa Japani?...waliachana na hivyo vitu siku nyingi sana na license yao wakawauzia wa Malasiya.
 
Mie nina Sony ila nilichezea nikatibuwa rangi ikanishinda kurudisha vizuri.
 
Kwenye TV set za kisasa zina sehemu mbili za kuchomeka waya za picha na sauti kutoka kwenye deki/king'amuzi chako,kuna matundu ya waya za AV,yaani zile waya tatu,njano,nyekundu nya nyeupe zilizo pamoja hivyo kuna vitundu vitatu vya kuzichomeka toka kwenye king'amuzi chako ili uone picha nk.

Pia kuna sehemu ya kuchomeka waya mmoja tu wa HDMI (High Definition Multimedia Interface) yaani uangavu wa hali ya sana,picha inaonekana katika ubora wa hali ya juu sana. Hivyo kama unatumia TV set yenye HDMI port unanunua huo waya lakini lazima king'amuzi/deki chako pia kiwe na HDMI port ili uweze kuona picha katika ubora wa hali ya juu.

Mfano king'amuzi cha azamu ni HD(high definition),pia DSTV viko vya HD,ukiona king'amuzi kinaitwa HD ujue kina sehemu ya kuweka waya wa HDMI. Mfano kama unaangalia mpira kwenye king'amuzi cha DSTV kuna chanel zimeandikwa HD mfano super sport 3,2,5 nk,huwezi kuangalia HD chanels kama TV set yako sio HD.

King'amuzi kinaweza kua ni HD ila sio lazima chanel zilizomo ziwe HD, mfano Azam ni HD lakini hakuna hata chanel moja mule ni HD.

Nadhani umepata mwangaza.

Kiongozi nakushukuru kwa darasa hili maridhawa.
 
Kwa hiyo licence kuuzwa malaysia jamaa asinunue Sony au? Licence haiuzwi kampuni ndo inauzwa ukizungumzia licence ni kampuni au kiwanda fulani kilichopo malaysia kinapewa kibali cha kutengeneza bidhaa za kampuni husika kwa ubora uleule badala ya sony kwenda malaysia na kuanzisha kiwanda kipya wanatoa tu kibali mfano ni Toshiba laptop nyingi zinatoka China sasa utasema Toshiba imeuziwa wachina? Habari ndo hyo nikupe skuli kidogo.
 
Najikita upande wa durability, Sony ndio mpango mzima kuanzia zamani achana na hawa newcomers.

Usimdanganye mwenzio..sumsung haina mpinzani mkuu..kuna wakati sony walidorora kidogo..kwa tv..washapitwa kwa mbali tu na sumsung..sony bado ni babalao kwa vifaa vya music!..angalia picha ilivyo bomba hakuna mfano..mm nina hiyo ya 32"..ina miaka 6..haijawahi kusumbua..ila hakikisha umenunua original!
 
Usimdanganye mwenzio..sumsung haina mpinzani mkuu..kuna wakati sony walidorora kidogo..kwa tv..washapitwa kwa mbali tu na sumsung..sony bado ni babalao kwa vifaa vya music!..angalia picha ilivyo bomba hakuna mfano..mm nina hiyo ya 32"..ina miaka 6..haijawahi kusumbua..ila hakikisha umenunua original!

Acha zako,wewe unaangalia sana matangazo tatizo lako,Samsung wako hao wanajua kutengeneza simu tu.Sony has always been the best and will always be.
 
HDMI cable ni waya unaopitisha picha High quality au HD kutoka kwenye tv kwenda kwenye king'amuzi au DVD.. ni lazima hivyo vitu vingine viwe na option hiyo ya HDMI.. waya huu ni mzuri sana na nitofauti na ule waya wenye pini tatu njano,red,na ,white... hdmi yenyewe iko moja tu kama USB vile... ni technolojia mpya inayoendana na flat screen hiz mpya...

pata picha una TV HD waya HD,Kingamuzi HD, channel unayotizama ni HD

nouma sanaaa ndo navyofanya hapa gheto

Mkuu receiver yangu ina port ya HDMI kumbe siku nikiwa na mpunga wa ziada ninaweza kufaidi picha za ubora wa hali ya juu yaani HD.
 
Back
Top Bottom