Hahahahaha. Sipati picha endapo walikugunduaHii nakumbuka sana,nilivyofika form one, siku nimeenda prepo washkaji wa form three wakaja bwenini kwetu wakapiga tranka langu kipepeo wakaiba vijisenti kidogo.
Nilivyorudi nikakasirika sana, nikafanYa uchunguzi nikawagundua. Nikavizia siku form three wameenda shambani nikaingia bwenini kwao nami nikafungua matranka yao hao washkaji wawili.
Nikakuta hamna cha kuiba, hivyo nikaamua tu Kunya na kukojoa humo then nikasepa...
hahahaa mkuu haitakaa itokee kama mara sec simu tunachaj na extentn tunanunuliwa.....watu wanavaa watakavyo hakuka shamba dres.....shule haina uzio wala rokoo so ukilala nje hakuna ajuaye....sheria mkononi mwa wanafunZ ushikwe mwiZ utaisoma no...HKL ndio wabishi hawana mfano ila EGM wao no msul yan kutoboa ozon.....kichelewa kuripot baada ya likizo.....hakuna vikao na walim hata kufunga shule ni wewe ukimaliza pepa la mwisho ndio mwanzo wa likizo yako,yan hapa mtu anaganya pepa la mwisho tiket iko mfukon beg liko nje ya mlango wa darasa......kinguni usiseme......hakuna mtu anayekunywa kwenye kikombe ni mwendo wa majag,vikarai,visado vya tos.....msuli chaka kama kawa,....mara sec na musoma tec madem zao ni songe na chif...weekend ni kuzurara utakavyo na unatupia utakavyo......uji huwa ni saa nne saa tano na nisu klas so watu huwa wanadoj ama ukienda bas utawakuta wanasinzia kibao.....walim wa kike wanapendwa zaid.....kitu kidogo mgomo na wanafunz wanazo hoja za mgomo chezea hgk....kuna watu mgano wa mimi hatujulikan sababu naingia class siku za pepa ni mwendo wa msul chaka

We umbwe hawajawai kua na historia ya kupiga shule yoyote achilia mbali lyamungo1.Nakumbuka tulivyogoma kula tukapigwa SP form six wote mwezi mmoja ukirudi unarudi na mzazi na barua ya serikali ya mtaa.
2.Vijana wa shule za Boyz kuwa na nguo za matukio kama kuna debate weruweru au machame utawaelewa.
3.Tulivyowapiga shule fulani inaitwa Lyamungo
Aisee hii ilikuwa kali jamani kidogo uchomoe mbavu zangu,najua huyo ticha mbavu ndo zilichomoka huku akishikilia mzakali hahahahaha,Hii shule itakuwa Arusha nn mkuu
Acha kuharibu nyuzi ...unaonekana kabisa umesoma day tena shule ya kata. Tuliza mshindoDah....walilificha tu mkuu...kwasababu za ''kiusalama''🙂
Kwenda kuiba ndizi na maparachichi after classes.. Haha...boarding kila Saa unaskia njaa..duka linafunguliwa jmosi tuu..
2.Kuruka dirishani na kuingia lab usiku ili tu kutumia internet...computer yenyewe moja na tulikua watu wanne.
3.Kuagiza chips nje ya shule kwenye matobo ya ukuta...(watu wa vijijini waaminifu unakaa kwenye tobo unaita tu na chips unaletewa.)
Kibosho girls class of 2008[/
Duuh
Sana aiseeeHahhaaaa good memories za kanta boy lidumu chama
I see!!!Class of 2008??!!Kumbe humu tupo na watoto wetu bila kujijua.Kwenda kuiba ndizi na maparachichi after classes.. Haha...boarding kila Saa unaskia njaa..duka linafunguliwa jmosi tuu..
2.Kuruka dirishani na kuingia lab usiku ili tu kutumia internet...computer yenyewe moja na tulikua watu wanne.
3.Kuagiza chips nje ya shule kwenye matobo ya ukuta...(watu wa vijijini waaminifu unakaa kwenye tobo unaita tu na chips unaletewa.)
Kibosho girls class of 2008
😎Acha kuharibu nyuzi ...unaonekana kabisa umesoma day tena shule ya kata. Tuliza mshindo
mkuu Ifunda technical iyomkuu hyo tarime high school?
Nilichezea kichapo mkuu hatrHaha we jamaa muongo asiee, yaani nao wanabaki wanakuangalia hivyo hivyo tu.