Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

kuna wakat walimu wa hostel walikua na tabia ya kuja bwenin ucku na ku2teka yan wanatutoa ucku zen 2naimbishwa nyimbo kama jeshn alafu push apu kichuna kutembea kibata yan kama depo2
 
Hii kiboko kama unadowload movie ya gb50
 
nimecheka nusu ya kuonekana chin...dah huo utemi noma
 
Wapi hiyo mkuu, walitongozana kwa simu au
Kuna dogo form two alimtongoza mwalimu, mwalimu akakubali siku ya kuonana mwalimu mpaka alilia maana allikuwa mwanafunzi wake na ana miaka kumi na tatu dogo walimfukuza.
 
Imenikumbusha mwalimu wangua alikuwa anaitwa Naburi.....
 
Huu uzi mtamu sana!! nimegundua karibu matuki yanafanana kwa kila boarding school
Kubwa kwangu tulikuwa tuna toroka kwenda kuangalia video za wakubwa night Kali!!(inaitwa kikao)!Tukitoka hapo utakuta kila moja anaenda kukojoa dakika kama kumi hamalizi kukojoa kumbe anapiga puli
 
Bila kusahau vyoo vya Pugu vilivyokuwa vikiitwa battle kutokana NA kwamba ukienda kujisaidia kubwa lazima uvue sharti kama unaenda pigana.
hii pia mara sec mkuu ila nilipokuwa njuka nilikuwa nawashangaa hawa jamaa vp mbona wanavua mashat wakienda toi na wakitoka wanapunga upepo hahahaa ilikuwa n day za mwanzo
 
From Tosa Boys......Siku moja(1999) nilimtumia barua msichana wa Iringa girls...ambaye hata jina sikuwa nalijua....Nilimuona alipokuja shuleni kwenye kongamano la kidini....
Stamp kwenye Barua hiyo ilikuwa ya kufoji....
 
Hahahhaha,umekumbusha tulivyokuwa tunafoji stemp,jamani tunafuta mhuri halafu tunatumia hiyo stemp kutuma barua,pia shida ya maji ndo ilisababisha watu tupige passport size,yaani nilishaapa kamwe wanangu hawawezi kusoma boarding schools

Bila shaka hii ni Tosa mawe
 
Anha....kumbe ni wewe jamaa, nimekupata, ugomvi wetu haujaisha, niliapa kukusaka hata tukikutana tukiwa wazee lazima nikuadhibu, sijasahau!!!
 
Sa ikawaje badae
 
Ha ha ha ha haaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…