Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Kwenda kuiba kuku kwa vijiji vya karibu.cku tulikamatwa hee tulipingwa sana na ndo ilikuwa mwisho wa kuiba tena kuku.
 
Dah... tulikuwa tunafanya majaribio ya Molotov cocktail hatukujua hata madhara yake itakavyokuwa ndiyo maana tukajaribu kwenye magari ya jeshi 🙂
Ilikuaje mkuu sikuipata hiyo kwenye taarifa ya habari au kuisoma kwenye magazeti? maana hilio sio tukio dogo ujue?
 
Nakumbuka nikiwa Weruweru girls tulikuwa tunalima sana, wakati wa kulima lazima nizidiwe, na nikilazimishwa najifanya nimezimia.
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 tulikuwa tukisikia hii shule ni kiboko kwa kusagana. Ilikuwa kweli au uzushi tuu.
 
Umenichekesha kwa sauti sana
 
Ha ha ha usisahau kabla ya kwenda kidedi lazima tupoze pale kwa Aswile. Then lazima turipoti kwakina Jack Ko....wa pale tuoshe maana kulikuwa watoto warembo hataree. Then kidedi kupiga ganja afu Chiluba kupiga gongo. Dah idumu kantalamba.
Hahhaaaa good memories za kanta boy lidumu chama
 
Mkuu hii mbona ni kama shule fulani hapo mahenge,morogoro
 
kula vibama na lazima uombwe na watu wote daaah hiii ni zaid na xul yeyote


kwa anayelijua kibama udogo wake
.
..ila maisha ya shule za boyz daaaaaa
.
its like utamalizia mwenyewe
 

Umbwe
 
Kuna jamaa siku ya NECTA form 2 alitoboa akaja kulala saa 11 alfajiri, matokeo yake akaja kuamka saa 5 asubuhi baada ya kelele za tuliotoka kwenye pepa kuanza kusikika mitaa ya bwenini. hahahahaaaa
duuh..hiyo noma sana.. ikawaje sasa? alirudia?
 
Nimegonga sana watoto wa wafanyakazi wa shuleeee,,,night kali nilikiwa nawavamia room narudi nane usiku
 
HahahaHahahahaaa, unaenda mwisho wa lami kuvizia videmu, unachelewa kurudi inabid upandishe kilima cha baghad kwa kukimbia ili uwahi kuhesabiwa rowcall, au unaula shortcut la pori lajeshi unatokea nyumba za walimu, karibu na nyumba aliyokuwa anaishi jk nyerere. Kwenda kusikiliza bongo fleva dukani kwa mwombeki, kuvizia watoto wa taasisi bindeni kisumu au kigogo fresh, kula wali kwa mama pendo na half cake., au kununua mihogo ya kuchemsha pale maabara ya agriculture. Much respect to Mlm Ogesa
 
Mara secondary

yaan ww tu ukitaka lala ukiataka nenda class ukitaka nenda mtaani ukitaka soma ukitaka acha, moja ya shule nilioenjoy MAISHA YA SHULE
hahahaa mkuu haitakaa itokee kama mara sec simu tunachaj na extentn tunanunuliwa.....watu wanavaa watakavyo hakuka shamba dres.....shule haina uzio wala rokoo so ukilala nje hakuna ajuaye....sheria mkononi mwa wanafunZ ushikwe mwiZ utaisoma no...HKL ndio wabishi hawana mfano ila EGM wao no msul yan kutoboa ozon.....kichelewa kuripot baada ya likizo.....hakuna vikao na walim hata kufunga shule ni wewe ukimaliza pepa la mwisho ndio mwanzo wa likizo yako,yan hapa mtu anaganya pepa la mwisho tiket iko mfukon beg liko nje ya mlango wa darasa......kinguni usiseme......hakuna mtu anayekunywa kwenye kikombe ni mwendo wa majag,vikarai,visado vya tos.....msuli chaka kama kawa,....mara sec na musoma tec madem zao ni songe na chif...weekend ni kuzurara utakavyo na unatupia utakavyo......uji huwa ni saa nne saa tano na nisu klas so watu huwa wanadoj ama ukienda bas utawakuta wanasinzia kibao.....walim wa kike wanapendwa zaid.....kitu kidogo mgomo na wanafunz wanazo hoja za mgomo chezea hgk....kuna watu mgano wa mimi hatujulikan sababu naingia class siku za pepa ni mwendo wa msul chaka
 
hahahahahahahahahaaa dah inabdi nicheke kwanza maana umenikumbusha meng xana
1.katka bwen le2 kulikua na tabia ya kuwakalibixha wagen kwa kuwapga mikanda 2kisha zma taa
2. kulikua na watoto manjuka walitoka na tabia zao za kushindana kujamba
 



Umenikumbusha zamani Man yara Ranch. ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…