Fixed account za benk na utajiri wa haraka haraka - welcome | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fixed account za benk na utajiri wa haraka haraka - welcome

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SAWEBOY, May 22, 2011.

 1. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Wakuu wana JF,
  Kuna tetesi kuwa ukifungua fixed account ya 10Million ktk benk za Exim, CRDB, Posta bank , NBC limited au NMB , kwa kila baada ya miezi mitatu - inazaa faidi kati ya sh. 1.8 mill up to 2.1 mil.

  Hii ina maana kuwa kwa muda wa mwaka 1, yaani 12 months unakuwa umepata faida ya sh.7.2 million up to 8.4 milion,
  Je hizo habari zina ukweli wowote? kwa anayefahamu plse naomba tufahamishe na sisi ili tuweze invest soon ktk hiyo fixed account.

  NB: Nimeuliza hilo coz nipo mbali kidogo, huku madongo kuinama ningekuwa jirani ningefanya follow up nije na data kamili
  Asanteni,
  Nawasilisha

  ================================================

   
 2. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  I know bank huwa interest rate hazitofautiani sana not sure if its BOT regulating it or not.
  Ila EXIM interest rate ya fixed & deposit A/C rate ni 6% kwa miezi mitatu so sijui hizo bank nyingine ulizotaja.

  SO 10 million +6% = tshs 600,000 kwa miezi mitatu.

  Hizo no data za ukweli toka Exim hata mimi ninayo hiyo account
   
 3. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  kwa hiyo tuwekeze kwenye fixed deposit?
   
 4. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45

  Asante mkuu kwa hiyo taarifa yenye uhakika kutoka huko EXIM Bank, hopeful wadau wengine watatuhabirisha juu ya benk nyinginezo kuhusu hilo jambo.

  Big up sana mkuu.
   
 5. O

  One Gentleman New Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ninavyojua benki hufidia mfumuko wa bei hivyo haitaweza kuzidi asilimia 8.5 kwa mwaka na kwa miezi mitatu itaku kwenye asilimia 2.125. Millioni 10 zitakupatia Sh. 212,500 ndani ya miezi mitatu!
   
 6. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  JAMANI WANA JF KWANZA KABISA NAOMBA MCHUKUE TAHADHARI.., MARA NYINGI BANKERS HAWAKO WAZI KABISA,, YAWEZEKANA KUTOELEWA KWETU NDIO FAIDA KWAO., WANATOA/TANGAZA TAARIFA NUSUNUSU..

  wakisema 6% riba ni kwa mwaka sio hiyo miezi 3 anayotaja that means 6% gawa miezi 12 zidisha miezi 3= 1.5 % ..,
  hivyo basi kwa 10,000,000 x 1.5 % = shs 150,000 tu riba utakayolipwa

  mwisho wa kipindi hicho cha miezi 3 utakuta kwenye account 10 mln + 150,000=10,150,000= tu

  utakuwa umeliwa bora hata biashara ya mkaa., sidhani hiyo riba itakusaidia kulinganisha na mtaji huo. badala yake wao watamkopesha mtu hizo pesa zako na ku-charge 18% gawa 12 x 3 =4.5% x 10 miln = shs 450,000= km ni fixed loan.,,

  kwa maelezo zaidi waweza uliza.
   
 7. c

  ccr airtel Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  haya maelezo matam sana nd thats how it is...Nazikumbuka hizi hesabu INTEREST OF 6% COMPOUNDED QUARTELY
   
 8. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna bank inayotoa interest ya zaidi ya asilimia mbili kwenye annual fixed deposits, hizo za miezi mitatu
  inategemea na treasury bills rate ziko vipi then wana qoute low.

  Kwa kifupi, usitegemee faida doing business with any bank in tanzania
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nakushukuru kwa kutoa neno lenye ukweli na lisilojulikana .... tz banks are the enemies of trade developments tunakwenda kwasababu tu hatuna namna ya kufanya ..... hata Olosugun Obasanjo aliwahi kusema kwamba in tz at a loan interest rate of 19% hata mfanyabiashara wa madawa ya kulevya hapati faida kubwa kama hii .... bank zinatukandamiza sana
   
 10. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Banks za bongo wizi mtupu
   
 11. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ukiwekeza kwangu kila mwezi nitakupatia TShs laki 6 monthly. so kwa miezi mitatu ni million 1 na laki nane, kwa mwaka ni million 7 na laki mbili.......but tunaingia mkataba wa miezi mitatu mitatu renewable.......................

  If you ARE interested ni PM for More clarifications
   
 12. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,850
  Likes Received: 2,775
  Trophy Points: 280
  Na mbaya zaidi hata BoT wamenyamaza tu wakiangalia wa-TZ wanavyosurubiwa na hayo mabenki! Sijui wako kwa faida ya nani?
   
 13. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Jamani hivi hatuna strong consumer group hapa tz?? Maana mteja haelewi akimbilie wapi maana regulator/bot ndo amekuwa akishangilia tunavyoumia. Majibu plz
   
 14. B

  BENTA Member

  #14
  May 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Commercial banks are there to make super profits hence do not put all your monies in one bank.
   
 15. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  No humanity in any businesss
   
 16. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hakuna kitu kama hicho bank zingepata loss.
   
 17. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Mkuu,
  Hesabu zangu zinaonyesha kwamba for 10M @6% annual rate, for 3months period utapata 150,000 na siyo 600,000/- kama ulivyoonyesha hapo juu.
  I stand to be corrected

  Thanks
   
 18. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hakuna hicho kitu. Mbona wengi tungeacha kuhangaika tungewekeza katika fixed deposits tu! Hizo asilimia zinazotajwa ni kwa mwaka.​
   
 19. L

  Logician Senior Member

  #19
  May 26, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  This thread is very interesting - Tz Banks do charge transaction fees for ATM withdrawals/transactions. What ashame!

  Withdrawals were supposed to be free because I draw my own money which bankers lend at interest when they are idle.


  I suggest consumer pressure groups to start acting on this- it is not fair charges in the face of global competitions. Where is BOT?!
   
 20. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa .Why charges on ATMS?
   
Loading...