Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
khaaaa my kaka fursa hizoo changamkia niitwe anti lol
Last edited by a moderator:
khaaaa my kaka fursa hizoo changamkia niitwe anti lol
Asante sana dadiiiii, sie huku bongo hatujazoea bites... let me test zis....(najaribu kuropoka kimombo cha dictionary ili uniambie kua unanitumia ticket dadiiiii ujue)
Nabyolaga sn miso lkn Naona nyeusi! Ukipepesa macho ndo unaona black dots!
kweli ila mi nataka wiii wa kijf not ki real lifeNou! Mi niko tayari na mke ila hapendi Kujiunga na JF! Mara nyingi husoma tu Km mgeni!
kweli ila mi nataka wiii wa kijf not ki real life
Dada yng ntalewa na pia ntamlewesha na yeye Maana kwa mistari Mimi Ni balaa!
hahahahahaha haya bhana
aisee hujaona? muite Mndengereko nae aje atoe jicho na ile miwani kama anaangua jua kudadeki!!
Dada yng najijua! Bora Ni hivi hivi tu na Kua na marafiki tu!
unaogopa PM za wadada wa humu dadiiiiii?
sawa kabisa thumb up teamR
Let me call him! Mndengereko ukuje hapa!
Iy is everywherekaribuni...
![]()
kweli eh!mkuu angalia mkono wa kushoto chini kabisa!! kapo bana!!
karibuni...
![]()