Find the black dot- eye test..!

Find the black dot- eye test..!

ukiangalia constantly sehemu moja huoni hizo black dots ila ukitembeza macho ndo unaona as if zote ni black dots.
 
Mie hata ukinitumia pipi ilimradi itokee huko huko ulaya, niisikie harufu ya ulaya ulaya tu, ntaridhika dadiiiiiiiii...

kweli mtoto mzuri!?

mbona zawadi ndogo hivi umechagua?
 
Mie hiyo hiyo nimeridhika, tena kama kuna pipi kifua huko, hiyo itakua poa sana dadiiiii...

lol! kwa haraka haraka, hebu jionjee hii..!

nenda kimoja kimoja mamii usije ukakabwa eenh!!

hazelnut-chocolate-cookies.jpg

sio vipipi lakini, hivi ni vibites tu vidogo dogo after dinner..!
 
ukiangalia constantly sehemu moja huoni hizo black dots ila ukitembeza macho ndo unaona as if zote ni black dots.

kwa hiyo mkuu hakiko constant aisee? hii ni science ya wapi? dah!
 
Hapo mchicha umerudi twisheni..

NImemwita na mwanangu mdogo hapa anisaidia kashindwa sasa nimemuambia mama yao kuanzia leo hakuna kupika mchicha hapa kwangu kama watashindwa kuniambia hako kadot kako wapi.?

hahahaaaaa ...!
 
lol! kwa haraka haraka, hebu jionjee hii..!

nenda kimoja kimoja mamii usije ukakabwa eenh!!

hazelnut-chocolate-cookies.jpg

sio vipipi lakini, hivi ni vibites tu vidogo dogo after dinner..!

Asante sana dadiiiii, sie huku bongo hatujazoea bites... let me test zis....(najaribu kuropoka kimombo cha dictionary ili uniambie kua unanitumia ticket dadiiiii ujue)
 
Back
Top Bottom