Find the black dot- eye test..!

Find the black dot- eye test..!

mkuu mimi siujui nina makengeza hata sijielewi,sioni black dot hata moja naashangaa wenzangu wanaosema zipo kila mahali

Pole Mkuu!

Pamoja na miwani yote Hiyo kwenye avatar yako huoni kitu?
 
How this is possible? Ndio tofauti kati ya sumbawanga ya wenzetu na ya kwetu.

umeona mkuu eenh! yani nimewaza sana! hii ni picha gani aisee?

wengine wanadai freemason qulaleki....

mbongo akiona kitu asichokijua anakimbilia kusema free-mason
 
Sasa mkurya mzungu mbona tena tumebadilisha pale kulia.??

nimeshahama.... kwani hujui maana ya humanitarian logistics?

mimi sio mti bana! i move for green pasture...
 
Kabisa Kiongozi Excel.

Wazungu wametuacha mbali sana. Freemason imetawala sana akili za watu kwa kweli... sema kwa kuwa kila mtu anajua lake wa kupotosha anapostosha kwa namna yake, ambacho hawapotoshi ni kuwa hii ni TAASISI YA KISHETANI.

Kaka wazungu wamefanikiwa kutuacha mbali maana priority zao na zet ni mama moja baba tofauti.. kwa sababu wakati sisi tunaumiza kichwa namna ya kupata mkate wa siku wenyewe tayari wameshashiba (wengi wao) kwa hiyo wanapata muda wa kutafiti na kufanya mwengine katika uvumbuzi na kurahisisha maisha.

Bahati mbaya kwetu mtu aliyejikwamua vizuri (sio wote) priorities zinabadilika kuhamia kichwa cha chini na starehe nyinginezo? Bisha??????
umeona mkuu eenh! yani nimewaza sana! hii ni picha gani aisee?

wengine wanadai freemason qulaleki....

mbongo akiona kitu asichokijua anakimbilia kusema free-mason
 
Last edited by a moderator:
Kabisa Kiongozi Excel.

Wazungu wametuacha mbali sana. Freemason imetawala sana akili za watu kwa kweli... sema kwa kuwa kila mtu anajua lake wa kupotosha anapostosha kwa namna yake, ambacho hawapotoshi ni kuwa hii ni TAASISI YA KISHETANI.

Kaka wazungu wamefanikiwa kutuacha mbali maana priority zao na zet ni mama moja baba tofauti.. kwa sababu wakati sisi tunaumiza kichwa namna ya kupata mkate wa siku wenyewe tayari wameshashiba (wengi wao) kwa hiyo wanapata muda wa kutafiti na kufanya mwengine katika uvumbuzi na kurahisisha maisha.

Bahati mbaya kwetu mtu aliyejikwamua vizuri (sio wote) priorities zinabadilika kuhamia kichwa cha chini na starehe nyinginezo? Bisha??????
hapo kwenye red.. Nyani Ngabu anasema 'miafrika ndivyo tulivyo', sijajua anawaza nn hasa mpaka leo!

tatizo letu kuu ni kwamba hatujitumi sana, mtu akipata kidogo tuu utasikia 'nimeridhika na nilichonacho'!! aisee huo msemo siupendi kama nini!... yani mbongo badala ya kufanya kazi, anakaa tu na kusema 'MUNGU atanijalia'!!!

mkuu, tatizo letu kuu mpaka sasa sijalijua, mwenye pesa ananishia kuponda starehe....

masikini nae anakula mpaka akiba...

nani alaumiwe??
 
Last edited by a moderator:
Umenimaliza aisee. Nimeipenda hii.

Naomba ninukuu kitabu nikipendacho sana Mithali 12:27 "Mtu mvivu hapiki mawindo yake, Bali mwenye bidii anazo mali za thamani''

Hapa sasa hebu utafakari unimbie kweli mtu mvivu anaweza kupata mawindo (kiingereza inasema a lazy man does not roast his game)... Yaani uwindaji ulivyo mgumu kukimbiza wanyama mwituni hadi ukamate mmoja kweli huo ni uvivu?
Jibu liko hapa ... HAPIKI mawindo yake (sio kwamba hakamati! hapana anakamata mawindo ya kutosha ila hapiki. Kupika hapa inaweza kuiita ''PROCESSING'' from raw stage to consumable state etc. Sasa badala ya kuweka mtu, weka Taifa lolote la kiafrika, kwenye mawindo weka (madini aina zote, gesi, na mali asizi uzijuazo wewe) Unaona nini? tunapika kweli mawindo yetu?

Then angalia hayo mawindo tunayowapa wazungu wakapike, angalia bei yake tunanunua mara hata kumi zaidi ya ile ya mawindo.... Tatizo kubwa kama ulivyosema ni KUTOSHEKA -CONTENTIMENT na uvivu wa kufanyia kazi vile tuvipatavyo. 2. Dharau ya hela 3. Mtazamo ..Kubadilisha wanawake kila leo kama 'prestige' etc
CC Mr Rocky, Mndengereko, Mentor, miss chagga na #TR wote.

Back
Top Bottom