kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
- Thread starter
- #21
wiseBravoooo!!!! wachache sana watakuelewa. hope tutaungana msimu ujao, pamoja na elimu itolewayo kuhusu uwekezaji wa muda mrefu watu bado wanatetemeka!! wakati mtu anaamka usingizini, atajikuta amechelewa sana. haijalishi una umri gani, time will tell.