William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
-
- #321
Hii inaleta mafundisho gani mzee?
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!
- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!
- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!
Le Mutuz!! THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA!!
Hivi ni lini @W.J.Malecela ulishandana na kupata sifa ya kuwa "King of all social network'? Au ulijipa mwenyewe hiyo sifa? Kuweka picha za wasichana wakiwa uchi ndio kupiga za uso? Kutukanana kwenye mitandao ndio sera za CCM? Kuushi kwako nje miaka yote hukubahatika kuambulia hata chembe ya ustaarabu na ustahimilivu? Kwamba kurudi bongo ndani ya miezi 6 tu ndo umeshakuwa polluted to that extent? kumbe the difference between You and Livingstone Lusinde is the same? Ni hasara kubwa sana kwa Mzee Tingatinga na Taifa kwa ujumla kuwa na Wazee wa hovyo hovyo kama wewe
unaenda wapi??mpiganaji wa ukweli hatoroki vitani bana,- Hao ni Makamanda wa CCM na waimbaji wakubwa sana nchini, powa naona hakuna hoja ngoja niondoke sasa kabla hii topic haijafungwa sasa hivi si unajua The King Of All Social Bongo Media, yani nikigusa tu anything watu wote mnaacha kazi zenu kuja kwenye thread kuna wakubwa humu hawapendi so ngoja niende jamani kwa amani!! - Again salute kwa makamanda wa CCM online, kazi yenu ni saafi saan na kumkoma nyani giladi daima!! Le Mutuz!!
makamanda mmeishiwa hoja na viroja jipangeni upya mje na hoja zenye kishindo; ushauri wa bure acheni kutumia multiple ID nyie ni watu wazima pamoja na kwamba mnabangaiza kwa viposho vya hapa na pale kuweni wastaarabu!
Chama
Gongo la mboto DSM
makamanda mmeishiwa hoja na viroja jipangeni upya mje na hoja zenye kishindo; ushauri wa bure acheni kutumia multiple ID nyie ni watu wazima pamoja na kwamba mnabangaiza kwa viposho vya hapa na pale kuweni wastaarabu!
Chama
Gongo la mboto DSM
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!
- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!
- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!
Le Mutuz!! THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA!!
Heshima sana wanajamvi.
Nimesoma mchango ya wanajamvi mbalimbali,wengi wako kishabiki zaidi hawajibu hoja hasa hoja zenyewe zinapokuwa hazijibiki.Napenda kutoa ushauri kwa mwanajamvi mahiri Mchambuzi kuachana na huu mjadala kwasababu si size yake kabisa kuendelea kwake ni kupoteza muda na heshima yake bure.
Le Mutuz umegombea ujumbe wa halmashauri kuu ya taifa bahati mbaya kura hazikutosha umeshika nafasi ya kumi na mbili ulizidiwa na wanaCCM wawili tu.Kama utaratibu wa zamani wa kuchagua wajumbe 20 ungekuwa unatumika ungekuwa mjumbe wa halmshauri kuu ya taifa.Kinachonishangaza na kunisikitisha ni jinsi unavyotiririka kijinga hapa JF,huna uwezo wa kujibu hoja yet umepata kura 800 hivi huko CCM wameishiwa kiasi hicho !.
Mwenyekiti wa CCM taifa ameshindwa kuteua wajumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa yamkini amegundua wajumbe wengi wa halmashauri kuu Taifa ni vichwa maji kama Le Mutuz.Bravo Kikwete jipe muda wa kuchambua wajumbe wenye akili ambao nina amini wapo wengi tatizo mfumo hauwapi nafasi.
Hewala...ngoja nikupe ushauri unapofanya ziara huko kwenye shule za Jumuai ya Wazazi fanya na tathmini ya kukubalika kwenu miongoni mwa wale mliowaajiri. Ukifika mezani kwa Mkuu wa shule kuna bendera ya CCM na Ilani ya uchaguzi...lakini Walimu wake 90% sio wana CCM, wako Chadema...Hebu jaribu kufanya utafiti huo Mkuu ukifika mwembetogwa (Iringa), Sangu, Meta na Ivumwe (Mbeya), Tegeta (DSM) n.k- Sasa unaona ninaaga mnanirudisha maana hamuwezi kunimaliza ni Big Shoow!, ok Lusinde unajua kwamba ametokea Chadema, ndiko alikojifuniza siasa, viroja mnavitaka wenyewe tumesema kwenye our mission tutawapa za uso na hoja kama vipi, mengine hayana tija kwa taifa so please naomba mniruhusu niondoke maana sasa hivi ninatembelea shule za Jmuiya ya Wazazi Tanzania nzima ili niweze kutoa ushauri wa what need to be done kuziokoa!
Le Mutuz!!
Si kila utumbo utaujibu mnauliza maswali yaleyale; kazi yenu ni kubadili ID; hapa tunafanya kazi kwa mapenzi yetu na CCM nyie wengi ndio mnaotegemea posho na kujipendekeza pale mtaa Togo. Hamna hoja ya kujibu wengi mnataka kulazimisha mambo kwasababu hoja hamna tunawaangalia macho; na isitoshe hii thread sio yenu tuwaachieni wenyewe wanaCCM kama mnatatizo na ujana wa Le Mutuz fungeni thread tuone kama hamtakimbia na kubadili ID zenu.
Chama
Gongo la mboto DSM
Heshima sana wanajamvi.
Nimesoma mchango ya wanajamvi mbalimbali,wengi wako kishabiki zaidi hawajibu hoja hasa hoja zenyewe zinapokuwa hazijibiki.Napenda kutoa ushauri kwa mwanajamvi mahiri Mchambuzi kuachana na huu mjadala kwasababu si size yake kabisa kuendelea kwake ni kupoteza muda na heshima yake bure.
Le Mutuz umegombea ujumbe wa halmashauri kuu ya taifa bahati mbaya kura hazikutosha umeshika nafasi ya kumi na mbili ulizidiwa na wanaCCM wawili tu.Kama utaratibu wa zamani wa kuchagua wajumbe 20 ungekuwa unatumika ungekuwa mjumbe wa halmshauri kuu ya taifa.Kinachonishangaza na kunisikitisha ni jinsi unavyotiririka kijinga hapa JF,huna uwezo wa kujibu hoja yet umepata kura 800 hivi huko CCM wameishiwa kiasi hicho !.
Mwenyekiti wa CCM taifa ameshindwa kuteua wajumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa yamkini amegundua wajumbe wengi wa halmashauri kuu Taifa ni vichwa maji kama Le Mutuz.Bravo Kikwete jipe muda wa kuchambua wajumbe wenye akili ambao nina amini wapo wengi tatizo mfumo hauwapi nafasi.
Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa, kabla hamjaendelea kumdanganya na kumpotosha huyo Mzee Malecela mdogo, ningeomba mtueleze ni nini maana ya Mzazi na Mzazi anatakiwa a behave vipi? au kwenu Jumuiya ya Wazazi ni jumuiya ya Ngwasuma na vidosho?