William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
- #281
Le Mutuz bana....hiyo misamiati yako huniacha hoi sana. Sasa hii"mbebs wa ukwee" umeitoa wapi tena?
Mambo niaje lakini mtu wangu? Kuna siku asubuhi nilikuona pale Ocean Road ukitembea....nadhani ulikuwa unakula tizi. Nikakupigia honi hata hukuniona
- Mamen kumbe ulikuwa wewe sikujua kama vipi bado upo holla bana, yule mbebs plae Steers huwa ninamuulizia sana, kama vipi holla!!
Le Mutuz!!