Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Status
Not open for further replies.
Najua ninyi watu wazima upuuzi wenu tumeusoma humu, nasi ajabu wengine wenu ni viongozi wa kitaifa mmeonesha jinsi mlivyo na uwezo mdogo wa kiuongozi hamkustahili hizo nafasi mlizopewa, ubora wa kiongozi uko ktk matendo na si vinginevyo.

watu wazima wanalumbana kwa hoja na sio kwa viroja kama mnavyofanya ninyi sasa hivi, Mnaharibu kabisa mnakasha katika JF
 
Jeykey
Leo unaikana Chadema? Ushoga kazi unajikana tu kwasababu unaogopa kujibizana na wanaume!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mzee unaoa lini

Maana haya mambo ya kujichubua si mchezo

- Yamekuwa haya tena ya kuoa sio siasa tena wala Chadema, bro tuliza boli unajua wewe unanisaidia sana kuni-promote ingawa unadhani unanichafua so think again, otherwise nawapongeza sana wana CCM online kwa kzzi nzuri sana finally we are being heard ndani ya mitandao sio kama zamani ilikuwa nyinyi tu wenyewe kwa wenyewe!!, NAONA HMANA HOJA HAPA TENA! NGOJA NIENDE!!

KIDUMU CCM!!

lE mUTUZ!
 
Najua ninyi watu wazima upuuzi wenu tumeusoma humu, nasi ajabu wengine wenu ni viongozi wa kitaifa mmeonesha jinsi mlivyo na uwezo mdogo wa kiuongozi hamkustahili hizo nafasi mlizopewa, ubora wa kiongozi uko ktk matendo na si vinginevyo.

watu wazima wanalumbana kwa hoja na sio kwa viroja kama mnavyofanya ninyi sasa hivi, Mnaharibu kabisa mnakasha katika JF

- Mwakaboko mtu mwenye akili sana na heshima umekuja kwenye huu mjadala kutafuta nini? ha! ha! ha! hapa ninawapongeza Makamnda wa CCM online wka kazi nzuri sana kwa Chama chetu!!

hoja hasa ni nini na wewe unawapongeza au hutaki?

Le Mutuz!!
 
- Hongereni Wana-CCM wote mlioko kila kona za online political activism, ninafarijika na jinsi recently ambavyo tumekuwa tukjibu mashambulizi ya ndugu zetu wa upande wa pili, in many cases siku hizi tunawaweka on defensive end sasa kwa vile hawakuzoea kujibiwa unawaona wakitoka mapovu kama nyoka kifutu, saafi sana inaitwa kumkoma nyani giladi yaani ukitaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, tuendeelee kuwatwanga hasa kwa ile lugha wanayojulikana kuilewa zaidi yaani ya za uso! Lakini sometimes huwa wana hoja so tuwajibu kwa hoja, lakini wakija kwa viroja please tuwape za uso tu!!

- Salute kwa Makamanda Ritz, Chama, na wengineo wembe ni ule ule hakuna kulala wala kuwapa nafasi, yaani finally tumeanza kuleta balance ndani ya Mitandao inapokuja the game na hawa wenzetu wa huko Upande wa pili, ndio maana hasa ya Demokrasia, siku zote nia na madhumuni yao ni wote tuwe na mawazo kama wao, hapana na mbarikiwe wote!!


- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

Le Mutuz!! THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA!!
We mnafiki si ulisema umeondoka jamii forums? Tena ukawa ukiporomosha mitusi kwenye ki blogu chako?
Vipi, mbona unarudia matapishi?
 
Najua ninyi watu wazima upuuzi wenu tumeusoma humu, nasi ajabu wengine wenu ni viongozi wa kitaifa mmeonesha jinsi mlivyo na uwezo mdogo wa kiuongozi hamkustahili hizo nafasi mlizopewa, ubora wa kiongozi uko ktk matendo na si vinginevyo.

watu wazima wanalumbana kwa hoja na sio kwa viroja kama mnavyofanya ninyi sasa hivi, Mnaharibu kabisa mnakasha katika JF



Well said

Mimi naishia hapo

Ila nawalika Nnauye Jr, Ritz chama, peri, @Balabanda, Lusinde, @Jmakamba wasome hizi comments
za Mzee kiongozi wa kitaifa

THis is BIG SHAME TO OUR PARTY CCM

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Last edited by a moderator:
Well said

Mimi naishia hapo

Ila nawalika Nnauye Jr, Ritz chama, @@peri, @Balabanda, Lusinde, @Jmakamba wasome hizi comments
za Mzee kiongozi wa kitaifa

THis is BIG SHAME TO OUR PARTY CCM

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Ahaaa haa umekuwa CCM sasa I doubt, you don`t belong to us; you sound like one them so don`t be ashamed of who you are!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
We mnafiki si ulisema umeondoka jamii forums? Tena ukawa ukiporomosha mitusi kwenye ki blogu chako?
Vipi, mbona unarudia matapishi?

- The King Of All Social Bongo Network Media!! ndio maana yake!! lakini muhimu ni Kamanda wa CCM online, the mada ni kuwapongeza makamanda wa CCM online, vipi unakubali au unakataa chagua moja!!

Le Mutuz!!
 






Bro hii imekaaje ya mbunge wenu Chadema?


Hivi hiki chakula cha nani vile

images
 
nimemtumia sms Mzee Philip Mangula ..... nimemsihi sana atemmbelee huu uzi hapa jf ajionee jinsi ccm inavyojidhalilisha
 
Hivi hiki chakula cha nani vile

images

- Huyo ni mchumba wa Kiongozi wenu huko Chadema so kuwa na heshima bro, huu sio mjadala wa wachumba wa viongozi, hapa ni salute kwa makamanda wa CCM online kwa kzi nzuri sana!!, kazi yenu Chadema kuingia bungeni na wachumba wenu!!

Le Mutuz!1
 
nimemtumia sms Mzee Philip Mangula ..... nimemsihi sana atemmbelee huu usingizi hapa jf ajionee jinsi ccm inavyojidhalilisha

- Mangula ni mtambo wa kurekebisha Chama kwa ndaa na sisi tunarekebisha kwa online, inaitwa division of labor katika chama!!

Le Mutuz!!
 
Hivi ni lini @W.J.Malecela ulishandana na kupata sifa ya kuwa "King of all social network'? Au ulijipa mwenyewe hiyo sifa? Kuweka picha za wasichana wakiwa uchi ndio kupiga za uso? Kutukanana kwenye mitandao ndio sera za CCM? Kuushi kwako nje miaka yote hukubahatika kuambulia hata chembe ya ustaarabu na ustahimilivu? Kwamba kurudi bongo ndani ya miezi 6 tu ndo umeshakuwa polluted to that extent? kumbe the difference between You and Livingstone Lusinde is the same? Ni hasara kubwa sana kwa Mzee Tingatinga na Taifa kwa ujumla kuwa na Wazee wa hovyo hovyo kama wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom