Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Status
Not open for further replies.
mmmmh hapa hata sikomenti nisije nikaharibu siku yangu😱hwell:
 
- Chama huyu sio demu ni kijana mmoja mlevi sana huwa anlewa mpaka anajikojolea na anabebwa na watu, ila saafi mpe tu za uso maana amezitaka mwenyewe!!

Le Mutuz!!

Kama anajikojelea kwasababu ya ulevi na bado analelewa na baba yake asije kwenye vikao vya wanaume hapa tunamwaga nondo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mara The king of all bongo social network mana The big show mara ze Mutuz mara ze Bahalia mara Kiongozi wa kitaifa

ALL ABOVE NI.........................................
MISIFA CAMP HAKUNA LOLOTE

- Le Biig Shoow!! ha1 ha! ha1 ha!

Le Baharia!!
 
bASI mwambie akaoe mamake

Inaonekana mama yupo single sasa unampigia chapuo kwa Willy; inakuwaje unamshinikiza mtu kuoa si mjomba wako si baba yako si kaka yako huoni kama hapo unamtafutia mtu wako wa karibu deal ya kuolewa?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Cdm nguvu yao iko kwenye kutengeneza uongo hivyo ukiwajibu wanakosa nguvu kabisa
 
- Mbebs wa ukweee vipi mtuwangu, miss you mbona siku kimyaa sana mtuwangu? holla bana!1, hapa usishangae tunamkoma nyani tu giladi!!

Le Mutuz!!

Le Mutuz bana....hiyo misamiati yako huniacha hoi sana. Sasa hii"mbebs wa ukwee" umeitoa wapi tena?

Mambo niaje lakini mtu wangu? Kuna siku asubuhi nilikuona pale Ocean Road ukitembea....nadhani ulikuwa unakula tizi. Nikakupigia honi hata hukuniona
 
Hahahahahah lol! naona unanifananisha banaaa. Miye kwetu ufisadi MARUFUKU kabisa nawe kwa kuwa ni mkongwe hapa jamvini unajua jinsi ninavyoupiga vita ufisadi. Faranga inayoniweka mjini ni faranga yangu mwenyewe na kwa kweli namshukuru Mungu sana kwa hapa nilipofikia na kila siku namshukuru. Sasa kama wewe unataka kuamini vingine na story zako za kutunga endelea kufanya hivyo.

- Wewe ndiye ubadilike mimi siishi kwa hela za wizi wa baba!1 kama wewe so labda ubadilike wewe kwanza!!

LE Mutuz!
 
mmmmh hapa hata sikomenti nisije nikaharibu siku yangu😱hwell:

Dada samahani upepo umeharibika kidogo kuna mashoga tunawapa ukweli wao tupishe tumefundishwa kuwaheshimu mama zetu tusije tukakukosea adabu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
hahahahah lol! ungejua unachoandika ni ***** mtupu wala usingepoteza muda wako. Nakula jasho langu tena kwa raha zangu. Life is so good I can't complain at all

It depends on how you define goodlife,..if drinking irresponsibly and coming here and starts insulting peoples and call it goodlife,MAN YOU GOT A VEEERRRYYY LOOONG WAY TO GO DUDE.
 
Matusi miye pia nayaweza lakini sitaki kufuata mkondo wako.

Mkuu

ukiona vip achana na malumbano yaliyoacha kujadili hoja, ninachokiona hapa ni kelele, bora kuachana na mjadala ulopoteza maana yake.

Ni mtazamo wangu mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inaonekana mama yupo single sasa unampigia chapuo kwa Willy; inakuwaje unamshinikiza mtu kuoa si mjomba wako si baba yako si kaka yako huoni kama hapo unamtafutia mtu wako wa karibu deal ya kuolewa?

Chama
Gongo la mboto DSM

Mimi nimeishaachana na habari za kuoa kwa huyu mzee ili unaweza kumpa mamayako ali#yeku#taga
 
Mkuu

ukiona vip achana na malumbano yaliyoacha kujadili hoja, ninachokiona hapa ni kelele, bora kuachana na mjadala ulopoteza maana yake.

Ni mtazamo wangu mkuu.

Mkuu Adolay
Usiwakimbize wamekuja na maneno ya kidemu badala hoja hapa watakimbia wenyewe wamezoea sana kuharibu mijadala kwa sababu ya wivu wa kike

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mimi nimeishaachana na habari za kuoa kwa huyu mzee ili unaweza kumpa mamayako ali#yeku#taga

Sijamshinikiza Willy kuoa endelea kupiga chapuo sasa hutaki mama naye awe na mwenzi wake wa kumliwaza?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Kama anajikojelea kwasababu ya ulevi na bado analelewa na baba yake asije kwenye vikao vya wanaume hapa tunamwaga nondo!

Chama
Gongo la mboto DSM

yeah..he should step aside when grownup are talking.
 
Mkuu Adolay
Usiwakimbize wamekuja na maneno ya kidemu badala hoja hapa watakimbia wenyewe wamezoea sana kuharibu mijadala kwa sababu ya wivu wa kike

Chama
Gongo la mboto DSM

Noted.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom