Finally: Hongereni Wana-CCM Online!!

Status
Not open for further replies.
Ahaaaa lol! Elungata na Chama kumbe ni mtu yule yule!!!! umechanganya madawa 🙂🙂...

WHAT??!!.....YOU CANT BE SERIOUS MAN.
Try harder..you are wrong...think..,think...think i know you can if you try hard then post something useful.
 

- Nikuonee wivu kwa nini kikampuni cha wizi wa baba yako wa hela za wananchi? ha1 ha1

Le Mutuz!!
 
Usisahau kama hii ni JF where we dare to talk openly...kwanini nifanye siri? labda ushauri kama huu unaweza kumsadia mtu mwingine pia.

- Siri ya nini ya kuolewa na mke na familia yake? Na mtumzima na mke na watoto kuishi kwa baba na kfanya kazi kwa baba? pleaseeee! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 

Sasa wewe unataka kuchukua nafasi ya Mzee Malecella? Hivi wewe ni mwanaume au demu? Umeniweka njia panda; yaani inavyoonekana ni kama demu fulani unalazaimisha mambo ya kiana kwa william kama ni kijana wa kiume jiangalie sana kamanda mwelekeo unaweza sio kuwa mzuri!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
- Chama huyu sio demu ni kijana mmoja mlevi sana huwa anlewa mpaka anajikojolea na anabebwa na watu, ila saafi mpe tu za uso maana amezitaka mwenyewe!!

Le Mutuz!!
 
- Ahsante sana, ila ndugu yangu dalili za mvua huwa ni mawingu, uchaguzi wa udiwani majuzi ni ujumbe tosha kuhusu what to expect 2015 the budern is on the otherside sio kwetu CCM tena!!

Le Mutuz!!

akili ndogo CDM wameongeza viti vy udiwani, ilhali CCM wamepunguza kwa akili yako wewe bado unaita ushindi
 
Matusi miye pia nayaweza lakini sitaki kufuata mkondo wako.

 
- Jamani people hold on a minute, nimeanzisha hii thread kuwapa heshima makamanda wa CCM online, sasa tztio lipo wapi si na nyinyi peaneni heshima makamanda wa Chadema on line! ha1 ha! ha! ha1

Le Biig shoow!!!
 
hahahahah lol! ungejua unachoandika ni ***** mtupu wala usingepoteza muda wako. Nakula jasho langu tena kwa raha zangu. Life is so good I can't complain at all

- Siri ya nini ya kuolewa na mke na familia yake? Na mtumzima na mke na watoto kuishi kwa baba na kfanya kazi kwa baba? pleaseeee! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Usisahau kama hii ni JF where we dare to talk openly...kwanini nifanye siri? labda ushauri kama huu unaweza kumsadia mtu mwingine pia.

Ahahahahahaha...you guy are very interesting.
Ndo utoe ushauri wako jukwaa la siasa ambako umekuta watu wanaongelea issue nyingine...huh?.
Ukaderail topic and your so called ushauri is nothing but insult and personal attack...wwwwhhhhyyyyy?.
What did he do to you personal for you to hate that man so much ,heh?
 
Matusi miye pia nayaweza lakini sitaki kufuata mkondo wako.

- Kijana mdogo hapa umefika kwa The King Of All Bongo Social Network Media, ukitaka hoja sawa ulianza na viroja umepewa exactly what you asked for!! ninasema bravo makamanda wa CCM online mwendo uwe n i ule ule, wameshika online wka muda mrefu saan sasa basi, mwendo ni nginja nginja!!

Le Mutuz!!
 

Mkuu @rejeo leo umeandika kwa kutumia akili yako Big up nimekupa like

Well said mkuu.
Pamoja

Hapa umejibu kivivu mtu anajipinda na kuandika page nzima wewe unajibu kwa maneno matatu ebu jipanue kimawao kidogo

- Kijana mdogo hapa hakuna kujuana hapa wewe nenda kauze mbao za baba yako fisadi!!

Le Mutuz!!

Wewe ndo unasema ni kiongozi kwa kitaifa? taifa gani? Mkuu ukiendelea hivi hutofika mbali unaingia kwenye mtego husioujua

- Siri ya nini ya kuolewa na mke na familia yake? Na mtumzima na mke na watoto kuishi kwa baba na kfanya kazi kwa baba? pleaseeee! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Too low kaka

51 years huna mke? Mkuu wewe utakuwa MGUMBA AU mambo yetu yatakuwa hayafanyi kazi
 
Matusi miye pia nayaweza lakini sitaki kufuata mkondo wako.
BAK
Kwanza rekebisha kabisa Chama wa Gongs ni mtu huru usinifananishe na Elungata mimi siogopi ban na wala sina muda wa kufungua multiple ID; umekuja la lugha za kishenzi na ndio sababu tunakujibu kishenzi hapo hapana tusi huo ndio ukweli wenyewe!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Badilika bana bado una muda wa kutosha kuweza kufanya hivyo au siku moja utakuja kuyakumbuka maneno yangu.

- Nikuonee wivu kwa nini kikampuni cha wizi wa baba yako wa hela za wananchi? ha1 ha1

Le Mutuz!!
 

ahaa haaa muoze mama yako ilia awe baba yako kambo!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Yaani kiongozi mtu mzima miaka zaidi ya 50 anaonea fahari hii


Na kujisifia

Jamani kuna mambo ya kuonea haya!

Mkuu chama,
Kinachonifurahisha kwenye huu uzi kila Pro-Chadema JF akijitokeza kupambana Le Biig Shoow le Mutuz ananawapa za uso mpaka wanatia huruma walikuwa hawajazoea kujibiwa.

Halafu wafuasi wanashangilia eti anawapa za uso!


Asante Rejao, nawe umeona, umekuwa mkweli.

Ushabiki usiozingatia ukweli utaangamiza chama.
 

Mara The king of all bongo social network mana The big show mara ze Mutuz mara ze Bahalia mara Kiongozi wa kitaifa


ALL ABOVE NI.........................................
MISIFA CAMP HAKUNA LOLOTE
 
Badilika bana bado una muda wa kutosha kuweza kufanya hivyo au siku moja utakuja kuyakumbuka maneno yangu.

- Wewe ndiye ubadilike mimi siishi kwa hela za wizi wa baba!1 kama wewe so labda ubadilike wewe kwanza!!

LE Mutuz!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…