Finally: BBC speaks the truth

Finally: BBC speaks the truth

wewe JMALI unategemea hao wapinzani wa kagame watongea nini? ahahahhahaa... eti untold story.....kweli mfa maji hakosi kutapatapa....hao jamaa watatunga chochote ili mradi wapate support ya internatonal community ya kuibana serikali ya kigali,lakini ndugu jmali nakwambia hawataweza watatumia international media,watatumia nchi jirani lakini hawataweza,kwani ukweli uko palepale genocide ilifanywa na wahutu wenye geonocide ideology na aliye uwawa ni mtusi.

sIKUPENDA NIJIBU MAANA SINA MASLAHI NA RWANDA WALA KAGAME.......Lkn ninachojua kwenye mauaji ya kimbali ya Rwanda ya mwaka 1994 waliouawa ni wote watusi, watwa na wahutu na wengine wengi..... msipotoshe ukweli SI WATUTSI Pekee ndiyo waliokufa.... kuna wengine wengi walikufa pia..... upotoshaji ndiyo ndiyo unafanya historia kujirudia ..... maana inaonesha kuwa jamii haijitambui hivyo mikasa yaweza jitokeza tena....
 
Nasikia rwanda Hamna demokrasia japo hapa Kwetu pia ipo kwenye vitabu vya serikali
 
hakuna mtu anayekataa Genocide against tutsis. Ila wewe unakataa mauaji ya RPF dhidi ya wanyarwanda.

Lol...naona umejisahau or someone has stolen your ID,kama ni wewe there's still hopes.
 
Lol...naona umejisahau or someone has stolen your ID,kama ni wewe there's still hopes.

wala sijajisahau narudia tena NOBODY DENIES GENOCIDE AGAINST TUTSIS!
 
Mkuu, mi ka nchi ka rwanda nilikuwa nakaona ni kadogo hata sikuwa na wazo la kufatilia issue yoyote. ila nilikuwa nasikia kuwa kuna a kind of civil war. Kagame nilikuwa namsifu sana kwa kusikia alikomesha mauaji ya kikabila.
Sasa nilivyosikia kuwa kamtishia rais wetu ndo hapo nilipoanza kufatilia why?
sababu yenyewe ilinifanya niwe na hasira naye sana. Eti kaambiwa kaa na wapinzani wako mpate muafaka. Sisi Bongo hiyo ndo tamaduni yetu. mnakaa mnaongea na kumaliza tofauti zenu. Hata kwenye hii ishu ya katiba, rais amekuwa akiongea na wapinzani kuona ni jinsi gani atamaliza habari hii.
Matokeo yake nimejua na mengine mengi sana. Hata kama rais angekuwa mhutu kafanya hivyo ningempinga mkuu, siyo kwa sababu ya utusi wake. murutongore lawmaina78 jMali Koba Commanche Gama nzalendo TUJITEGEMEE

Hayo mengi uliyo yajua ni yapi? hebu twambie ya kikwete!
 
wafukunyuku wa mambo ya rwanda si wa rwanda,vita inayopiganwa misitu ya congo nani anafadhili buti,chakula ,silaha,mahema,radio comm,etc ni nani? Na kwa faida ya nani? Ili iweje?
My ndugu nimeona kwa macho midege inayotua misitu ya congo na mambo yanayoendelea .
Kagame anafahamu hili ndo mana anakuwa mkali at any cost kwa faida ya vizazi vijavyo.
(wakipanua wigo hata tz hatuko salama wanaanza kuja wataingilia either chadema au ccm)
.....Aha ha ha ha tayari wameshaingia through CCM au hufahamu kuwa midege inaingia na kuondoka ikisheheni madini na Wanyama.
 
...Kama hii documentary ya BBC ina ukweli ndani yake, basi mzee wa 'ku-hit' wenzie ni mtu hatari sana.

Wale wanaomtetea Kagame wanasemaje kuhusu ile sauti iliyorekodiwa ya watu wanaopanga mauaji ya akina Gen. Nyamwasa na Kalegeya? Hakuna ukweli wa kuhusika kwa serikali ya mzee wa 'ku-hit' ktk mpango wa mauaji?
 
yule jamaa alisema kuwa 1mil usd itatoka kwa kagame.
 
wala sijajisahau narudia tena NOBODY DENIES GENOCIDE AGAINST TUTSIS!

Hata sisi hatukatai kwamba kuna Wahutu waliuawa au vitendo vya revenge hapa na pale, ila tunachosisitiza ni kwamba haukuwa mpango wa serikali ya RPF wa kuua wa Hutu:
Zilikuwa hasira za watu kibanafsi na wengi walifunguliwa mashtaka, nakumbuka kuna kipindi askali mmoja aliyekuwa anafanyia kazi karibu na mpaka wa DRC alihukumiwa kifo. na alipigwa risasi hadharani mbele ya wananchi kwa sababu alijichukulia sheria mkononi akalipiza kisasi kwa walioua ndugu zake.
Managing two ethnic groups after the Genocide was something that some of you can`t Imagine.
Combining killers and victims under one leadership sio kazi rahisi.
Isingekuwa Kagame sasa hivi Rwanda ingekuwa kama Somalia, atleast ukifika Rwanda the hate we read from medias huwezi kuona,people are minding their business.
 
1. Hao "waliouawa hapa na pale" siku yao ya kuwakumbuka ni lini?
2. Hao "waliouawa hapa na pale" mahakama zao za Gacaca ziko wapi?
3. Hao "waliouawa hapa na pale" waliowaua mbona hawapelekwi ICTR?
 
Almost 1 hour...ngoja nichukue na wine kabisa...hii ni movie...

Sipendagi kupitwa na vitu kama hivi...ili niweze chambua chuya na mchele...

Nina washikaji zangu wanyarwanda yani nikiwaangalia mpaka nawahurumia...wanaishi mazingira magumu sana...asikwambie mtu uhuru ni kitu muhimu sana...wanyooooongeee...na kwa kuwa najua watokako, huwa sizungumzii siasa nikiwa nao...
 
1. Hao "waliouawa hapa na pale" siku yao ya kuwakumbuka ni lini?
2. Hao "waliouawa hapa na pale" mahakama zao za Gacaca ziko wapi?
3. Hao "waliouawa hapa na pale" waliowaua mbona hawapelekwi ICTR?
Hata NAZI walikufa in process ya kufanya uharamia wao,same fate iliwakuta interahamwe wenzako,then unataka mkumbukwe kwa lipi?huo kama sio wehu ni nini,yote unayopost humu is more of entertainment,propaganda and feel good stories kwa interahamwe wenzako and uninformed,in reality nobody takes you seriously na tunapokujibu usijione una lolote la maana sometimes tunataka kujua tuu what's on your mind ...language ya interahame ni prisons tuu,no need of any meaningful debate kwa watu who killed almost a million people
 
wala sijajisahau narudia tena NOBODY DENIES GENOCIDE AGAINST TUTSIS!

Kweli kabisa, hata mada mama(plus documentary) hazikanushi uwepo wa genocide Bali inakuza uelewa wa chanzo cha genocide kwa faida ya vizazi vijavyo. Kama PK siyo chanzo cha genocide aende ICC akakanushe.
 
Hata NAZI walikufa in process ya kufanya uharamia wao,same fate iliwakuta interahamwe wenzako,then unataka mkumbukwe kwa lipi?huo kama sio wehu ni nini,yote unayopost humu is more of entertainment,propaganda and feel good stories kwa interahamwe wenzako and uninformed,in reality nobody takes you seriously na tunapokujibu usijione una lolote la maana sometimes tunataka kujua tuu what's on your mind ...language ya interahame ni prisons tuu,no need of any meaningful debate kwa watu who killed almost a million people
.....Samahani kiongozi, hao ''millions of people'' waliokufa wakati wa hayo mauaji unaweza kutupa details kuwa:-
  • Wahutu na watutsi idadi yao ilikuwaje kati ya hao waliokufa?
  • Kabla na baada ya mauaji takwimu ilikuwa inaoneshaje kwa idadi ya makabila hayo mawili nchini Rwanda
  • Inakuwaje Wahutu wanaandamwa sana ktk haya mauaji ilhali vifo vilitokea pande zote mbili na nani alilipua ndege ya Rais wa Rwanda kabla PK kutwaa nchi?
  • Jitihada gani Kagame amefanya kuwatia hatiani waliolipua ndege ya Rais maana naona amekuwa mstari wa mbele kuwaadhibu wapinzani wake tu.
 
...At whatever cost, job has to be done. Money is not a problem....

...If you can kill one, kill the superior...
 
...kama hii documentary ya bbc ina ukweli ndani yake, basi mzee wa 'ku-hit' wenzie ni mtu hatari sana.

Wale wanaomtetea kagame wanasemaje kuhusu ile sauti iliyorekodiwa ya watu wanaopanga mauaji ya akina gen. Nyamwasa na kalegeya? Hakuna ukweli wa kuhusika kwa serikali ya mzee wa 'ku-hit' ktk mpango wa mauaji?

katika utawala kuua wachache kwa faida ya wengi inaruhusiwa.toka enzi na enzi
 
katika utawala kuua wachache kwa faida ya wengi inaruhusiwa.toka enzi na enzi

........Wachache maana yake nini Mkuu?. Hiyo idadi unayoiona ni wengi waliokufa huko Rwanda wanaweza pia wakawa ni wachache sehemu kama China, India, n.k

Sidhani kama thamani ya roho za watu zilizopotezwa zinapimwa kutokana na wingi wake.

Vipi kuhusiana na mauaji ya kinyama ya watu zaidi ya 40,000 waliouliwa mwezi February, 1993 huko Ruhengeri na vikosi vya RPF ambapo idadi kubwa sana walikuwa ni Wahutu?. Idadi kama hii ndo unasema kuwa Watawala wameruhusiwa kuwaua kwa ajili ya faida ya wengi?
 
Ni heri Rais ambaye wazungu wanamwita dictator alafu analeta maendeleo kwenye nchi na kuwajali raia wake kuliko Rais anayesifiwa na wazungu huku maendeleo yakiwa kitendawili kwenye nchi yake na zaidi ya yote hawajali raia na kutumia dola kung'oa meno na kucha(bila ganzi) raia wake...

Ukiona una urafiki wa karibu na mabepari/wazungu ujue maendeleo ya nchi yako daima yatakua hakuna!!
 
Na wakongo milioni 5 ni wachache pia???

Back
Top Bottom