Hutumia udhaifu wetu kutumaliza sisi wenyeweSasa ndiyo shida tuliyo nayo. Tupo tayari kuuawa na mwafrika mwenzetu bila kulalamika, na mzungu akisema tu, basi imekuwa shida.
Inabidi tusome, tufanye utafiti na kupata majibu kuhusu habari hizi badala ya kutoa majibu ya jumla jumla. Kwa kiasi kikubwa naweza kuamini habari hiyo kutokana na wafuasi wa Kagame wa zamani kuuawa huko Afrika Kusini na wengine kutishiwa maisha yao.
Ni juzi juzi tu kulikuwa na habari za Watanzania wanne kufungwa huko South Africa kwa kula njama za kutaka kumuua mmoja wa majenerali wa zamani wa Kagame. Je huo nao ulikuwa ni uzushi wa wazungu?
Mkuu umesahau juhudi zake....za kuwaunganisha Waafrika wa Rwanda kwa kuanzisha mahakama za GACACA ambazo lengo lilikuwa kuleta maelewano aina yao...!? Halafu ukabila wake wala si uoni....maana wanaokuwa targeted na serikali ya Rwanda ni wanyarwada wote wanaotaka kuiangusha serikali hiyo bila sababu za msingi, katika hili hakuna kujali kabila la mtu. Ebu chunguza tena list ya wale wanaotafutwa kuadhibiwa na serikali ya Rwanda kama ni wote wanatoka kabila moja.....
Fikiria mkuu hapa Bongo kuna kila aina ya wageni, Wanyarwanda wenyewe, wakenya, wakongo ndo kibao etc. lakini mbona sisi tunakaa nao kwa amani?
Ahahahhahaa! husiogope mkuu tupo pamoja. Hatumchukii kagame kwa uafrka wake, tunamchukia kwa ukabila wake. Ni kiongozi shupavu na mwenye malengo. Hii kitu ya ukabila na kutisha wenzake ndo inanikela.
Fikiria mkuu hapa Bongo kuna kila aina ya wageni, Wanyarwanda wenyewe, wakenya, wakongo ndo kibao etc. lakini mbona sisi tunakaa nao kwa amani?
BBC hatimaye wamefanya kweli. Wale wenye matusi yao sasa ongezeni BBC baada ya jMali!
[video=vimeo;107867605]http://vimeo.com/107867605[/video]
Kwa ambao video haionekani hapo juu Direct link hii hapa: Rwanda's Untold Story Documentary on Vimeo .
tatizo lako wewe ndiyo mkabila,unamchukia kagame kisa ni mtusi,mbona myaka hiyo yanyuma wakati wahutu walikua wameshikilia usukani hamkusema kitu lakini leo anaitwa mkabila wakati utawala wake unawashirikisha matabaka yote.
Hao Wazungu waliowaua toka mababu zenu mpaka leo na hadi kesho mmelalamika wapi?
Acheni Kagame ajenge nchi yake! Wanafiki wakubwa komaeni na kwenu!
Hao wazungu unaowaona ndio waleta demokrasia na maendeleo wamefanya nini Iraq na Libya? Au ndio unataka wafanye hivyo Rwanda pia?
Kuweni na akili waAfrika, ukiona mzungu anamu attack kiongozi wa Kiafrika jua ni kwamba kagoma kuwatumikia, KAMWE usidhani eti anawatetea wanyonge! Wangapi wanakufa na vita DRC mbona Kabila hawi criticized hivyo? Hapo CAR je? CCM hapa imeua wangapi kuanzia Mwembechai na hadi operation ujangili na Mtwara juzi? Mbona kimya? Au hao waRwanda kumi na wanaotulizwa rwanda wanathamani kuliko mamia ya wabongo?
THINK!!
The moment an African leader does not serve the interest of the West to their liking ndio mwanzo wa mwisho wa huyo mtu na wanaanza kumuonyesha kuwa ni ruthless dictator.
What kagame is doing is NECESSARY for the stability and development of RWANDA!!
Mkuu umesahau juhudi zake....za kuwaunganisha Waafrika wa Rwanda kwa kuanzisha mahakama za GACACA ambazo lengo lilikuwa kuleta maelewano aina yao...!? Halafu ukabila wake wala si uoni....maana wanaokuwa targeted na serikali ya Rwanda ni wanyarwada wote wanaotaka kuiangusha serikali hiyo bila sababu za msingi, katika hili hakuna kujali kabila la mtu. Ebu chunguza tena list ya wale wanaotafutwa kuadhibiwa na serikali ya Rwanda kama ni wote wanatoka kabila moja.
Anapofanya vizuri PK, mpeni haki yake. Kumbuka hakuna rais makini chini ya jua ambaye anaweza kuwachekea wale wote wanaohatarisha usalama wa nchi yake.
wewe JMALI unategemea hao wapinzani wa kagame watongea nini? ahahahhahaa... eti untold story.....kweli mfa maji hakosi kutapatapa....hao jamaa watatunga chochote ili mradi wapate support ya internatonal community ya kuibana serikali ya kigali,lakini ndugu jmali nakwambia hawataweza watatumia international media,watatumia nchi jirani lakini hawataweza,kwani ukweli uko palepale genocide ilifanywa na wahutu wenye geonocide ideology na aliye uwawa ni mtusi.
1. GACACA courts haitumii majaji wanasheria, inatumia "wazee wa heshima", typically watu wa makamo ambao wanachaguliwa na vijji. Hawa hupewa mafunzo ya WIKI MBILI kupata utaalamu wa kisheria wa kuendesha hizo kesi za GACACA. Na hao "wazee" majaji many of them are illiterate! Mahakama za GACACA ni mahakama za kijamii ambazo originally zilikuwa zinahukumu kesi za ardhi, kesi za kupiga mkeo n.k mahakama hizi kutumika katika kesi za kufunga watu jela for years ni ubatili usio kifani. Over 40% ya hukumu za Gacaca zimekuwa appealed.
2. GACACA courts hazitumii mawakili. Hivyo ukishtakiwa ni wewe mwenyewe ndio utasimama pale kati kujitetea against "witnesses". "witnesses" wakizidi against you ndio basi tena .
3. GACACA courts zinashughulikia kesi za watutsi dhidi ya wahutu tu. Hazishughulikii kesi za RPF dhidi ya wahutu. Hivyo unaweza kukuta katika kijiji kimoja kuna wahutu 1000 walikufa na watutsi 200 walikufa. GACACA itashughulikia kesi za hawa watutsi 200 tu. Hivi hao ndugu wa wahutu watakuwa na re-conciliation gani na watutsi hapo kijijini? Ndugu zao wameuawa na RPF ambalo ni jeshi la watutsi, na hakuna mtu anashitakiwa, halafu ndugu waliobaki tena nao wanafungwa kupitia Gacaca unadhani kutakuwa na maeleweano hapo?
4. Mahakimu wa Gacaca ambao ni wahutu pia wanaface problems. Kama watutsi humo kijijini hakiwataki kina simply allege kuwa majaji wao wenyewe ni genocidaires. In 2005 alone majaji 1200 WAHUTU walifukuzwa for alledgedly being genocidaires themselves! Let me remind you kuitwa genocidaire in Rwanda if you are a Hutu ni kitu rahisi tu, unaweza kuitwa genocidaire kwa sababu ndugu yako yuko ndani kwa genocide, na kwenye community kama ya Rwanda, Ni jaji gani ambaye hana bias? asilimia ngapi ya watutsi ambao hawajapoteza ndugu zao mikononi mwa interahamwe, asilimia ngapi ya wahutu ambao hawajapoteza ndugu kwa mitutu ya RPF au hawana ndugu jela kwa makosa ya mauaji ya genocide.? Jibu ni kwamba almost every rwandan is biased. Lakini kwa kuwa focus ya Gacaca ni makosa ya wahutu, the judges wanaopigwa kesi za conflict of interest ni wahutu tu. Kwa nini jaji mtutsi aliyepoteza ndugu zake akiwa judge wa kuhukumu wahutu anakuwa hana conflict of interest?
5. wataalamu wanasema justice must not only be done but it must also seen to be done. Rwanda inajisifia kuwa Gacaca inakamilisha kesi haraka zaidi kuliko mahakama za kawaida. Lakini hiki kinatakiwa kuwa kitu cha kuhoji, there is a reason why kesi za mahakama za kawaida takes time. Haki sio maana yake simply watu kwenda jela. Kesi za hukumu za fasta fasta kama miradi ya big results now maana yake haki haijatendeka hapo.
6. Hiyo list ya "wanaotafutwa" mbona wanakaa nchi nyingine kama wakimbizi wa kisiasa? ni makosa gani hayo ambayo nchi hizo wenyeji hawayaoni? Marekani anatoa misaada rwanda lakini amewapa hifadhi "wanaotafutwa". Je marekani anahatarisha usalama wa Rwanda? South africa inahatarisha usalama wa rwanda? Netherlands?....ndugu, usalama wa taifa la rwanda maana yake ni kumtii Kagame.
Mkuu, mi ka nchi ka rwanda nilikuwa nakaona ni kadogo hata sikuwa na wazo la kufatilia issue yoyote. ila nilikuwa nasikia kuwa kuna a kind of civil war. Kagame nilikuwa namsifu sana kwa kusikia alikomesha mauaji ya kikabila.
Sasa nilivyosikia kuwa kamtishia rais wetu ndo hapo nilipoanza kufatilia why?
sababu yenyewe ilinifanya niwe na hasira naye sana. Eti kaambiwa kaa na wapinzani wako mpate muafaka. Sisi Bongo hiyo ndo tamaduni yetu. mnakaa mnaongea na kumaliza tofauti zenu. Hata kwenye hii ishu ya katiba, rais amekuwa akiongea na wapinzani kuona ni jinsi gani atamaliza habari hii.
Matokeo yake nimejua na mengine mengi sana. Hata kama rais angekuwa mhutu kafanya hivyo ningempinga mkuu, siyo kwa sababu ya utusi wake. murutongore lawmaina78 jMali Koba Commanche Gama nzalendo TUJITEGEMEE
..... Eti kaambiwa kaa na wapinzani wako mpate muafaka. Sisi Bongo hiyo ndo tamaduni yetu. mnakaa mnaongea na kumaliza tofauti zenu...... TUJITEGEMEE
@Nyamgluu two wrongs do not make something right. Naona kama unamtetea Kagame kwa haya yaliyofanyika, napingana na wewe. Cha msingi toa facts ili kuthibitisha kuwa sio mhusika!Hao Wazungu waliowaua toka mababu zenu mpaka leo na hadi kesho mmelalamika wapi?
Acheni Kagame ajenge nchi yake! Wanafiki wakubwa komaeni na kwenu!
Hao wazungu unaowaona ndio waleta demokrasia na maendeleo wamefanya nini Iraq na Libya? Au ndio unataka wafanye hivyo Rwanda pia?
Kuweni na akili waAfrika, ukiona mzungu anamu attack kiongozi wa Kiafrika jua ni kwamba kagoma kuwatumikia, KAMWE usidhani eti anawatetea wanyonge! Wangapi wanakufa na vita DRC mbona Kabila hawi criticized hivyo? Hapo CAR je? CCM hapa imeua wangapi kuanzia Mwembechai na hadi operation ujangili na Mtwara juzi? Mbona kimya? Au hao waRwanda kumi na wanaotulizwa rwanda wanathamani kuliko mamia ya wabongo?
THINK!!
The moment an African leader does not serve the interest of the West to their liking ndio mwanzo wa mwisho wa huyo mtu na wanaanza kumuonyesha kuwa ni ruthless dictator.
What kagame is doing is NECESSARY for the stability and development of RWANDA!!
Hao Wazungu waliowaua toka mababu zenu mpaka leo na hadi kesho mmelalamika wapi?
Acheni Kagame ajenge nchi yake! Wanafiki wakubwa komaeni na kwenu!
Hao wazungu unaowaona ndio waleta demokrasia na maendeleo wamefanya nini Iraq na Libya? Au ndio unataka wafanye hivyo Rwanda pia?
Kuweni na akili waAfrika, ukiona mzungu anamu attack kiongozi wa Kiafrika jua ni kwamba kagoma kuwatumikia, KAMWE usidhani eti anawatetea wanyonge! Wangapi wanakufa na vita DRC mbona Kabila hawi criticized hivyo? Hapo CAR je? CCM hapa imeua wangapi kuanzia Mwembechai na hadi operation ujangili na Mtwara juzi? Mbona kimya? Au hao waRwanda kumi na wanaotulizwa rwanda wanathamani kuliko mamia ya wabongo?
THINK!!
The moment an African leader does not serve the interest of the West to their liking ndio mwanzo wa mwisho wa huyo mtu na wanaanza kumuonyesha kuwa ni ruthless dictator.
What kagame is doing is NECESSARY for the stability and development of RWANDA!!
...........1. GACACA courts haitumii majaji wanasheria, inatumia "wazee wa heshima", typically watu wa makamo ambao wanachaguliwa na vijji. Hawa hupewa mafunzo ya WIKI MBILI kupata utaalamu wa kisheria wa kuendesha hizo kesi za GACACA. Na hao "wazee" majaji many of them are illiterate! Mahakama za GACACA ni mahakama za kijamii ambazo originally zilikuwa zinahukumu kesi za ardhi, kesi za kupiga mkeo n.k mahakama hizi kutumika katika kesi za kufunga watu jela for years ni ubatili usio kifani. Over 40% ya hukumu za Gacaca zimekuwa appealed.
2. GACACA courts hazitumii mawakili. Hivyo ukishtakiwa ni wewe mwenyewe ndio utasimama pale kati kujitetea against "witnesses". "witnesses" wakizidi against you ndio basi tena .
3. GACACA courts zinashughulikia kesi za watutsi dhidi ya wahutu tu. Hazishughulikii kesi za RPF dhidi ya wahutu. Hivyo unaweza kukuta katika kijiji kimoja kuna wahutu 1000 walikufa na watutsi 200 walikufa. GACACA itashughulikia kesi za hawa watutsi 200 tu. Hivi hao ndugu wa wahutu watakuwa na re-conciliation gani na watutsi hapo kijijini? Ndugu zao wameuawa na RPF ambalo ni jeshi la watutsi, na hakuna mtu anashitakiwa, halafu ndugu waliobaki tena nao wanafungwa kupitia Gacaca unadhani kutakuwa na maeleweano hapo?.......