nakukumbusha tu kuwa nilishakutaliki usipoteze muda wako kujadili na mimi:
https://www.jamiiforums.com/interna...-to-dissenting-rpf-cadres-6.html#post10634149
Unitaliki nimekuwa mkeo? he he he. Kuwa na heshima extremist hutu. Najua porini mnaishi na nyani kwa hiyo hamfundishwi heshima ila kwa Kagame mnatia heshima. Unaleta story za uongo hapa halafu unategemea uchekewe. Nimekuuliza ni lini Twagiramungu alifungwa? Na kwa kosa gani? Jibu tukuone uongo wako hapa.