Filimbi za matundu 8 zimepotelea wapi?

Habari wakuu.
Kwa wale ambao wamesoma elimu ya msingi miaka ya 80 watakuwa wanakumbuka tulikuwa na bendi za gwaride la shule na tulikuwa tukitumia ngoma na zile filimbi zenye matundu manane. Hizi filimbi nakumbuka zilikuwa zinatolewa na serikali kwa ajili ya mashule na pia zilikuwa zinauzwa kwenye maduka mitaani.

Tulikuwa tunafundishwa namna ya kutumia ala hii ya muziki. Ni miaka mingi sijawahi tena kuiona ala hii ya muziki ikiuzwa mahali popote. Kwa mwenye kujua kama bado zinapatikana anijulishe ni wapi. Nakumbuka zilikuwa bei rahisi sana maana zilitengenezwa kwa mrija (pipe) ya bati na kipande cha mti kwenye sehemu ya kupulizia upepo. Miaka ile nadhani bei ilikuwa kama shilingi kumi hivi!
Kuna playback siku hizi Vijana hawavumbui wala kujihangaisha kuvijua vipaji vyao.
 
Tuliziita zumari

Wamachinga wanauza za plastic lakini wengi huwauzia watoto kama toys...

Zile za kitambo zilizoundwa kwa bati jepesi, binafsi sijawahi ziona miaka na miaka...
 
Kuna zile za mbao/miti pori zilikuwa nzuri sana.Mgambo wa hapa kijijini kwetu anayo ile ya ulinzi ya mbao anaiweka kwenye shati lake kifuani.Anatembea kwa kujidai sana huyu muheshimiwa.😂😂😂
 
... na za bati pia zipo; hao jamaa (mgambo na sungusungu) wakizining'iniza shingoni wanajihisi ni alfa na omega! Halafu ni kama kanuni fulani hivi mifukoni lazima wawe na kadi fulani iliyochoka mbaya! Ha ha ha! Mkongwe johnthebaptist anajua sana hizo mambo.
 
Huyo atatudanganya eti "mzee Mgaya kashauri"!
... na za bati pia zipo; hao jamaa (mgambo na sungusungu) wakizining'iniza shingoni wanajihisi ni alfa na omega! Halafu ni kama kanuni fulani hivi mifukoni lazima wawe na kadi fulani iliyochoka mbaya! Ha ha ha! Mkongwe johnthebaptist anajua sana hizo mambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom