Filimbi za matundu 8 zimepotelea wapi?

Ukijujua kupiga filimbi saxophone haikusumbui
Nakubaliana na wewe hata kama sijawahi kujaribu kwa sababu ukiiangalia vizuri saxophone is just filimbi kubwa iliyochangamka zaidi,!!

Dah, I miss this thing!! Yaani huu uzi umenikumbusha mbali mno, hadi nafikiria kutafuta filimbi!!
 
😂😂👍
 
Ahaa,mi nimepiga sana fulimbi bendi ya shule kuna siku nanunua midoli ya mtumba nimpelekee dogo nikaikuta nzuri ya mtumba ya plastic nikainunua,sitaki mtu aiguse .
 
... hivi nyie madogo huko mashuleni huwa mnasomaga vitu gani? Umewahi angalau kusoma hadithi au kusikia stori ya "Mpiga Filimbi wa Hamelini"? Ndio hizo filimbi anaulizia mleta mada raslimali.

Kuna uzi hapa kwa hisani ya Mshana Jr unazungmzia kitu hicho hicho, Mpiga filimbi wa Hamelin! Deliver every promise. Tumshukuru Rais kwa kumbadilisha waziri wa elimu maana yalikuwa mjanga!
Hakielimu wanamsifu msomi Ndalichako na wanawachawishi vijana wasome kwa bidii wafikie kiwango cha Ndalichako.
 
Hakielimu wanamsifu msomi Ndalichako na wanawachawishi vijana wasome kwa bidii wafikie kiwango cha Ndalichako.
... Prof. Ndalichako kusema ukweli kwenye makaratasi ni brain haswa. Tatizo ni kushindwa kutumia utaalamu wake wa kwenye makaratasi kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii hususan tasnia ya elimu aliyokuwa amekabidhiwa. Hapo ndipo wasomi wetu wanakwamaga sijui kwanini na wakishaingia kwenye siasa za CCM ndio habari yao kitaaluma inakuwa imefikia tamati.
 
Duh mi nakumbuka tulikuwa tunatengeneza za mabomba ya mpapai enzi za utoto ila nimesahau hata kuzitengeneza kwasabab ni mda plus mambo meng kichwani.
inabd niwatafute marafk wa utoto wanikumbushe
 
Duh mi nakumbuka tulikuwa tunatengeneza za mabomba ya mpapai enzi za utoto ila nimesahau hata kuzitengeneza kwasabab ni mda plus mambo meng kichwani.
inabd niwatafute marafk wa utoto wanikumbushe
Sisi tulikuwa tunaumia conduits
 
Nakumbuka sisi tulikuwa tukitengeneza kwa mabomba ya Pump za Baiskel zile za kujaza kwa Mkono
 
Habari wakuu.
Kwa wale ambao wamesoma elimu ya msingi miaka ya 80 watakuwa wanakumbuka tulikuwa na bendi za gwaride la shule na tulikuwa tukitumia ngoma na zile filimbi zenye matundu manane. Hizi filimbi nakumbuka zilikuwa zinatolewa na serikali kwa ajili ya mashule na pia zilikuwa zinauzwa kwenye maduka mitaani.

Tulikuwa tunafundishwa namna ya kutumia ala hii ya muziki. Ni miaka mingi sijawahi tena kuiona ala hii ya muziki ikiuzwa mahali popote. Kwa mwenye kujua kama bado zinapatikana anijulishe ni wapi. Nakumbuka zilikuwa bei rahisi sana maana zilitengenezwa kwa mrija (pipe) ya bati na kipande cha mti kwenye sehemu ya kupulizia upepo. Miaka ile nadhani bei ilikuwa kama shilingi kumi hivi!
Ziliundwa kwa kipande cha bati la betri za National
 
Nazikumnuka sana na natafuta sana mlimwa dodoma shuleni kuna demu alikuwa anaitwa Rachel mkombozi alikuwa anapiga sana na sisi wengi tukajifunza kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom