Nashukuru mkuu. Nipo Arusha so nitamuagizia mtu anitumieMoja 500 mi nimenunua jana mara ya mwisho
Tulizitumia kwenye magwaride mashuleni enzi hizo!Hizo filimbi zina Kazi gani
Una kumbukumbu nzuri!Zile zilizokua zikitengenezwa na ma metal covers za mabetri ya National ha ha ha
Ni ala ya muziki mkuuHizo filimbi zina Kazi gani
Cheki maduka ya urembo hapo townNashukuru mkuu. Nipo Arusha so nitamuagizia mtu anitumie
Tulizitumia kwenye magwaride mashuleni enzi hizo!
Asanteni maana naona kuna memba hapo juu anasema alinunua kumi na mbili akasafiri nazo sasa nikawa najiuliza zote hizo zina Kazi gani, kumbe ni kujiburudisha tuNi ala ya muziki mkuu
Kuna zile walikuja kutengeneza kwa kutumia bati za betri ya radio nayo
Ilikuwa raha sana enzi hizo. Siku hizi haya mambo naona shuleni hakuna. Hata somo la muziki hakuna. Mtu anaitwa mwanamuziki hata kusoma music sheet hajui.Tulizitumia kwenye magwaride mashuleni enzi hizo!
Kumbukumbu yako ni sahihi kabisa. Bati za betri za National!Kuna zile walikuja kutengeneza kwa kutumia bati za betri ya radio nayo
Ova
ohh ok. Ngoja kesho nitapitaCheki maduka ya urembo hapo town
Yah nlitumia sanaKumbukumbu yako ni sahihi kabisa. Bati za betri za National!
Baada ya Bongofleva kuja wanunuzi wa zana za muziki walikosekana.Habari wakuu.
Kwa wale ambao wamesoma elimu ya msingi miaka ya 80 watakuwa wanakumbuka tulikuwa na bendi za gwaride la shule na tulikuwa tukitumia ngoma na zile filimbi zenye matundu manane. Hizi filimbi nakumbuka zilikuwa zinatolewa na serikali kwa ajili ya mashule na pia zilikuwa zinauzwa kwenye maduka mitaani.
Tulikuwa tunafundishwa namna ya kutumia ala hii ya muziki. Ni miaka mingi sijawahi tena kuiona ala hii ya muziki ikiuzwa mahali popote. Kwa mwenye kujua kama bado zinapatikana anijulishe ni wapi. Nakumbuka zilikuwa bei rahisi sana maana zilitengenezwa kwa mrija (pipe) ya bati na kipande cha mti kwenye sehemu ya kupulizia upepo. Miaka ile nadhani bei ilikuwa kama shilingi kumi hivi!
Ni kweli kabisa! Haya mambo hayapo kabisa siku hizi! Mfumo wetu wa elimu kwa sasa unachangia kwa sehemu kubwa kuua vipaji na ubunifu wa watoto wetu! Kuna wakati natamani enzi zile lakini ndiyo hivyo tena!Ilikuwa raha sana enzi hizo. Siku hizi haya mambo naona shuleni hakuna. Hata somo la muziki hakuna. Mtu anaitwa mwanamuziki hata kusoma music sheet hajui.
Ni kweli kabisaUna kumbukumbu nzuri!
Vipi bado unapiga hizo zana mkuu au umeshazisahau?Yah nlitumia sana
Nlipokuwa nasoma chimala shule ya msingi mbeya nlikuwa napiga sana hiyo
Nikaenda kusoma forodhan shule ya msingi kulikuwa na bendi nlikuwa natwanga sana trumpet kwenye bendi ya shule na filimbi
Ova
Mhh! Ina maana kizazi cha bongo fleva hakitaki kujifunza ala za muziki??🙄Baaga ya Bongofleva kuja wanunuzi wa zana za muziki walikosekana.
Baaga ya Bongofleva kuja wanunuzi wa zana za muziki walikosekana.