Kikombe cha kahawa

Kikombe cha kahawa

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,176
Reaction score
8,281
Nipo pembeni mwabkitanda changu nimekaa na kikombe cha kahawa,isiyokuwa na maziwa au sukari.Pembeni kuna redio ndogo nasikiliza mambo mbalimbali kwa sauti ya chini sana.Kitandani kalala mke wangu yupo fo fo fo kabisa.
Kalala kwa amani kabisa akijua yupo mlinzi wake.Nyumba nzima ni kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Ni ndege wanarukarika na kuimba nyimbo mbalimbali wala tafsiri yake sijui.Mimi ni babu na mke wangu ni bibi.Namuomba Mola atakapotuchukua,iwe hivi hivi tulivyo bila kuachana.Naba nyote mseme amina
 
Amina
 
Back
Top Bottom