Hapo umenena mkuu.Hii ndio point ya kufungia thread.
Mkuu una source labda ya ulichokiorodhesha hapo juu? Mimi pia niligundua tabia hizo mapema sana. Halafu watu wa aina hiyo ukiona anaongea sana ujue kuna kitu anatafuta.
Huwa mimi wakati mwingine naulizaga kwa ndugu wa karibu, hivi mimi wananichuliaje? Mkimya au mpole? Au nipo seriasi sana? Manake kazini mimi ni mkali sana lakini pia nina huruma sana. Napendaga sana kuwapa ushauri wenye matatizo. Ila mwisho wa siku nashindwa kujielewa why naogopwa na watu wazima,watoto na vijana wenzangu? I don't understand!
Hapo umenena mm niko hivyo nawatu wananiogopa sana hasa watoto wa kike wanasema nadharau harafu nalinga kwaufupi ctaki matani ya kipuuzi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mi nikiwa kwenye keyboard nabwabwaja sana ila kwenye real life ni mkimya na wengi huwa wananiogopa
9. Akimzoea mtu huwa utani ni mwingi mpaka wengine wanajiuliza huyo amemzoeajeHizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.
9.
Mkuu wewe si mpole. Ila ukimya ndiyo humfanya mtu aogopwe na wengi wenye kuogopa ni wanawake. Kwahiyo yawezekana ukawa ni mkimya, tena kama ulivyosema na ukali pia unao basi hiyo ndiyo uchangia kufanya uogopwe na aina tofauti za watu.
Ila kwa uzoefu wangu ukimya huwezafanya kuogopwa hata na wamama au wadada wakubwa.
9. Akimzoea mtu huwa utani ni mwingi mpaka wengine wanajiuliza huyo amemzoeaje
Nabisha.
Hahahaaa no comment...Hizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.
9.
Hii ndio point ya kufungia thread.
Mkuu una source labda ya ulichokiorodhesha hapo juu? Mimi pia niligundua tabia hizo mapema sana. Halafu watu wa aina hiyo ukiona anaongea sana ujue kuna kitu anatafuta.
Sijui kwa nini huwa naamini we ni mkimya
kumbe!nataka nikuwowe
Hahahaa amini ukipenda
Yaah huwa naamini we ni mkimya af mkaliUnaamini hivyo??
Watu wakimya wana hisia kali sanaaa
Siamini wala sipendi?
Niwowe mwaya am ready
Najisikia wivu!!
Kama upendi sitokulazimisha uamini