Umuhirindahu
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 349
- 170
- Thread starter
-
- #101
Hizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.
9.
dah! Sijui hata inakuaje lakin utakuta kuna mtu hajanikosea wala sijamkosea lakin siwezi kukaa kupiga nae story wala kuongozana nae
malizia basi tisa na kumi....
sasa pombe imekusaidia kidogo kufanana nao?
Team buku7 bora ungekuja na id zako zngne yaani ulichoandika humu hakuna hata kimoja unachofanana nacho, nyie vijana wa lumumba ni micharuko na walopokaji wazuri tena hamna adabu mzaba vibao hadi wazee ili mpewe vyeo iv ww chamviga kwa utumbo unaomwagaga jukwaa la siasa unaweza kutoa ushauri wa maana kweli kwa vijana wenzako?
Mi nikiwa kwenye keyboard nabwabwaja sana ila kwenye real life ni mkimya na wengi huwa wananiogopa
wachangiaji wengi lakini wala hakuna mkimyA.wenyewe wakimya wamesoma posti na wametoka au kupita kimyakimya bila kuacha hata neno.
Tz 99% ni wanasiasa sa nani mpole? 1%ni udini anzisha mada ya hivyo vitu 2 kwenye kundi la watz uone nisisahau na mpira
Team buku7 bora ungekuja na id zako zngne yaani ulichoandika humu hakuna hata kimoja unachofanana nacho, nyie vijana wa lumumba ni micharuko na walopokaji wazuri tena hamna adabu mzaba vibao hadi wazee ili mpewe vyeo iv ww chamviga kwa utumbo unaomwagaga jukwaa la siasa unaweza kutoa ushauri wa maana kweli kwa vijana wenzako?
Mi ni mkimya ila ukinizingua lazima nikupige ngumi na usipoanguka au kuzimia basi ujue we kweli mwanamke.
Hizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.
9.
9. Niwa banizi wa hela
10. Wana jiona bora kuliko wengine.
Hii ndio point ya kufungia thread.
Mkuu una source labda ya ulichokiorodhesha hapo juu? Mimi pia niligundua tabia hizo mapema sana. Halafu watu wa aina hiyo ukiona anaongea sana ujue kuna kitu anatafuta.
Nimeishi na watu wa namna hiyo nawa jua vizuri mkuu
Mimi ni mkimya hasa kwa watu wagen kwangu ila mkimya kias kidogo nyumbani. Ila megundua ukimya umenifanya baadhi ya watu siwez kuongea nao kabisa wala kuwa nao karibu.
Sifa mojawapo ya watu wakimya hupenda kusikiliza kwa makin na kuzisoma tabia na hisia za wengine hivyo hujikuta wale ambao umewaona huendan nao ni vigumu sana kuwa nao karibu na huwa wakimya wengi wanajua mengi juu ya mawazo ya wengine
tofautisha mkimya na mpole.....
MIMI SIO MPOLE
Hata mimi hii kitu ninayo sana.Watu wakimya tunaathiriwa sana na tabia yetu ya kukumbuka ulichokisema mbele za watu...kama ulichokiongea kikapingwa au kuwakwaza wengi basi kitamsumbua mda mrefu ...kuepusha hayo ni kupiga kimyaaa ila matendo zaidi