sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
mbona hilo halikuwa kwenye ilani yake?Lowassa angekuwa Raisi CCM na Mubaraka wake wangekuwa na kesi kubwa ya Uchumi wangekuwa wamefilisika kwa madeni makubwa waliyokopa katika uchaguzi wangeuza viwanja vyao vya mpira na maofisi ili kulipa hayo madeni waliyo sababisha miaka zaidi 50 yaani wangepotea kabisa.