Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Asingeminya demokrasia,bunge lingekua live,mikutano ya kisiasa ingefanyika
 
Asingeminya demokrasia,bunge lingekua live,mikutano ya kisiasa ingefanyika

Demokrasi bila usawa wa mali za nchi hiyo siyo democrasia. Democrasia siyo wachache waiteke nchi kwa manufaa yao wenyewe, demokrasia ni watoto wetu wasome, hospital zetu ziweze kuwatolea huduma Watanzania wote, siyo wengine waende Appolo hospital walala hoi wafe bila matibabu hiyo democrasia gani. Nizibe mudomo, wape watoto wangu elimu, matibabu, usawa wa mali zetu. Democarasia gani za kusaini mikataba mibovu na kujirundikizia na nchi iachiwe madeni ya Richmond.
 
Epa ilikua ni demokrasia?Escrow je au unaona rich mond tu,toka ccm iwepo madarakani hayo unayoyasema yanafanyika sawasawa?matibabu yapo wapi,elimu bure iko wapi,miundo mbinu bora ipo wapi? Halaf hamtaki tuongee ,by the way rich mond anajulikana na sio Lowassa
 
LOWASA ALIPEWA UWAZIRI MKUU AKACHEMKA KWA UFISADI WAKE NAFIRI URAIS ANGEFISADI KILA KITU MAANA HUYU JAMAA HALIZIKI KABISA

Hakuna mwingine kwa sasa kama Rais Magufuli, wengine ni wapenda raha tu kwa manufaa yao wenyewe na siyo kwa manufaa ya wananchi. We must suport our God sent President.
 
Epa ilikua ni demokrasia?Escrow je au unaona rich mond tu,toka ccm iwepo madarakani hayo unayoyasema yanafanyika sawasawa?matibabu yapo wapi,elimu bure iko wapi,miundo mbinu bora ipo wapi? Halaf hamtaki tuongee ,by the way rich mond anajulikana na sio Lowassa

Hayo yote Rais Magufuli yalikuwa yakimuumiza lakini alikuwa hana la kusema. kacha yetu ya Kitanzania kukaa kimya ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Kila mtu anaruhusiwa kusema kama kuna jambo baya linafanyika, lakini Rais Magufuli kaingia madarakani kwa muda mufupi tu kafanya mambo mengi ya kuwanufaisha Watanzania wote hata Dunia inaona, wapinzani hawatafuti democrasia wanatafuta power kupitia mulango wa nyuma. Sema kama kuna jambo la kusema, andamana kama kuna jambo la kuandamana. Kuwapa huduma wakati wakiandamana ni gharama, pesa hizo zingeenda kujenga shule au vifaa hosipitalini. Waandamane kama Magufuli kampa tenda mtoto wake, ama ametorosha pesa za Watanzania ama kuna scandals kama za Richmond. Richmond alihusika Lowassa na rafiki yake kabla hawajagombana na ndiyo maana ali step down. Do not try to change facts.
 
Enyi mliologwa huyo lowassa mlijua kama atahama, hadi anahama hana shida ya kukukomboa we nyumbu husojitambua uliedai ni fisadi leo hii unatuambia ni hazina ya watanzania,ulimbuken huo
 
Duh hili jambazi lingekomba kila kitu, ahueni huyu Ngosha japo naye anazingua
 
Duh hili jambazi lingekomba kila kitu, ahueni huyu Ngosha japo naye anazingua
 
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?

Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?

Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?

Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!
Angalia Manispaa za Arusha na Mbeya wanavyochota posho. Na Arumeru. Na Moshi. Viwanja anavyookoa Lukuvi si wangegawana kama hizo posho. Na ni nani angethubutu kumfanyia UKUTA Lowassa, morani si wangemchinja?
 
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?

Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?

Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?

Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!
 
Na magufuri akijiunga Ukawa 2020 atakuwa sio dictator Tena atasafishwa Ah ah ah ah ah ah Siasa Bana rahaa sanaa eeh
 
Kila k2 kingekuwa ni HEWA!
-RCs hewa.
-DCs hewa.
-RAS & DAS hewa.
-Wakurugenzi hewa.
-....... Hewa
-...
-yaaani baalaaaaa...!!!
 
binafsi magufuli namkubali saana
nahuo ndio uanaume bwana ala
na hii ndiyo mana ya utawala wa kiafrika
cjutii kura yang kumpa
piga kazi mkuu
 
Angekuwa raisi,usinge uposti uzi huu
Tafauti ya Lowassa na Magufuli ni kubwa mno.
Lowassa is apolitician na mtu mwenyehekima na mvumilivu

Magufuli si mwana siasa na hana wisdom hana uvumilivu hana busara hana hekima.
Katika maraisi walopita walokuwa ni viongozi hassa
Nyerere
Mwinyi
Kikwete
basi na lowassa angekuwa kwenye kundi hilo

kwa upande wa ZNZ
Karume
Mwinyi
basi na Maalim Seif
 
Maisha gani yangekuwa safi ya mafisadi sawa siyo ya Watanzania wa kawaida. Lowassa ni mmojawao alikuwa akivuna kwenye shamba la bibi wakati wewe umelala. Maisha yalikuwa safi kwa wadhurumaji. Wakiuguwa wanaenda India, Muhimbili na hospitali za walala hoi hats vitanda kulikuwa hakuna. Machine zote za kupimia wagonjwa hospitali za walala hoi zilikuwa zimekufa, amekuja kuzifufua Rais Magufuli. Watoto wetu wakikaa chini mashuleni mpaka Rais Magufuli alipoingia madarakani. Mambo aliyoyafanya chini ya mwaka mmoja madarakani in mengi. Inaonekana wewe ulizowea kuvuna bure kwenye shamba la bibi na sasa huna njia. Pole majuto in mwijukuu sasa ni kazi tu. Usipofanya kazi usile
 
Back
Top Bottom