Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

kuna kitu watu wanashindwa kukielewa, ukiwa mgonjwa ili upone lazima upate maumivu kidogo, so kama ni sindano huwezi kusema kwakuwa yeye ni daktari basi akichomwa sindano haitauma! Nchi ilipokuwa imefikia, ili ipone inabidi tuumie kidogo hakuna cha nani wala nani. Hata ingekuwa ni upinzani, tena ndo tungeumia zaidi maana ni kama unachomwa sindano na daktari ambaye siyo mzoevu.
Na wewe mambo yako na busara yako ni kipimo cha fikra yako. sio lazima Serikali mpyaaa kwa maana ya upinzani basi ni shida. Bali ni mtazamo wa kiongozi ... mfano serikali yetu kwa sasa mwongozo walionao ni tofauti na na serikali ya awamu ya nne na zote ni ccm.
 
kuna kitu watu wanashindwa kukielewa, ukiwa mgonjwa ili upone lazima upate maumivu kidogo, so kama ni sindano huwezi kusema kwakuwa yeye ni daktari basi akichomwa sindano haitauma! Nchi ilipokuwa imefikia, ili ipone inabidi tuumie kidogo hakuna cha nani wala nani. Hata ingekuwa ni upinzani, tena ndo tungeumia zaidi maana ni kama unachomwa sindano na daktari ambaye siyo mzoevu.
Mambo yako na busara yako ni kipimo cha fikra yako.
 
Hicho alichoandika huyo mdau ni swali?? ? swali lipo wapi ulilojibu hapo..kazi kubwabwaja hata ulichoandika hujui!! Wewe ni wa hovyo kabisa....
Hahhaa mkuu huu mchezo hauhitaji hasira, km ambavyo magu alisema hapa kazi tu Lowasa alisema tutakuwa matajiriii...m js rolling on their words man...lol
 
1. Umewah waza mambo haya? Kama edward lowassa angekuwa rais kwa kupitia chama cha mapinduzi unadhan nani nani angekuwa waziri mkuu?makamu wa rais?waziri wa mambo ya ndani? Na watu kama membe,makonda,nape,ridhiwan wangekuwa na nafasi gani? Maisha ya watanzania yangekuaje?unadhan wapinzani wangejenga ukuta au daraja?migogoro na serikali je tungeendelea kusikia?matamko....ya ccm yangeendelea kutolewa?

2. Kama edward lowassa angekuwa rais kupitia chadema akiwa supported na ukawa kwa ujumla nani angekuwa waziri mkuu?makamu wa rais?waziri wa mambo ya ndani? Na watu kadhaa wangekuwa na nafasi gani? Maisha ya watanzania yangekuwaje?ccm kama chama cha upinzani unadhan kingekuwa na hali gani?

Nawaza mambo haya kwa kina na bado majibu sina. Uwezo wa Mungu unajulikana akiamua inawezekana. Ingekuwa vipi?
 
kwanza ni ndoto yako
351185.jpg

Lowassa asingeweza kuwa Rais
 
Je ungekuwa wewe rais mambo yangekuaje?tuanzie hapo kwanza
 
Ukiona watu wanaikumbuka misri ujue jangwai mambo yamebana na kufika kanani siyo leo....sina maana mbaya nimewaza tu wakati nikiendelea kusubiri TZ ya viwanda.
 
ufisadi ungeongeeka maana nyuma ya lowassa kuna mafisadi, waleeee waliokuwa wanatoa misaada makanisani lakini sasa wamesitisha

Mbowe angechuma hela maradufu

jamii ya kichaga iliyojikita kwenye kuiba mali za nchi ingeneemeka sana na kuiba kwa nguvu zote

katiba ingebadilishwa ili iendane na matakwa ya chadema

chadema wangekuwa na uwezo wa ufukuza watu nchini ili wasiwe raia wa tanzania

udikteta ungekuwa mara dufu zaidi ya huu ( ha ha ha) wanaomjua lowassa ni mbabe zaidi ya anavyooneana

utawala wa kutofta sheria ungepokwa, lowassa ana historia hiyo


kusingekuwa na maendeleo, nchi ingekuwa stagnant CCM WANGESINGIZIWA KUWA WAMEIHRIBU NCHI, hakungekuwa na ubunifu, watu wanegichukia zaidi CCM, chadema wangeendeleza hiyo propaganda kuwa nchi iko 'beyond repair'


chadema ni wahuni wala haina mjadala
 
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?

Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?

Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?

Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!

Kama Lowassa angekuwa Rais, angefuata nyao za Kikwete na Tanzania ingekuwa kama Zimbabwe. Mungu halali na ana njia zake za kuwaokowa wanyonge katutupia Magufuli, our God sent president
 
Kwa Lowasa hiki anachofanya Magu ni cha mtoto. Tungelishuhudia mabadiliko ya kasi tena bila kutumia magufu kama anavyofanya Magu. Halafu lazma kuwa systematic, siyo kila kukicha unatoa jambo jipya bila kufanya analysis ya lile la jana ni kwa kiasi gani umefikia au kukaribia lengo.

Mabadiliko gani? Mutanzania aliyejirundikia mali haijulikani kaipata wapi. Mikataba mibovu ya kujitajirisha mwenyewe mpaka amenunua nyumba Uingereza. Kumbukeni marafiki wawili waliopendana sana walipogombana tu siri zote za Richmond zikatoka. Akinena wananchi wamejuwa, tuwachane na hii deal, rafiki yake akamwambia wacha tu watasema watasahau. Basi hatujasahau, bado tunakumbuka na mpaka sasa nchi inalipa mabillioni wakati Mtanzania wa kawaida hajuwi kodi zake zinalipa mabillioni kwanini. Ukitaka kutibu cancer lazima ukate sehemu yote iliyoambukizwa iondolowe kabisa, ukibakiza cancer itarudi. Lowassa akirudi basi tunarudia kule kule kwenye shamba la bibi. Hii Mwenyezi Mungu hawezi kuruhusu, tunasonga mbele na Rais Magufuli mukitaka msitake. Ukuta bila Ukuta.
 
Jirani yangu angekuwa anakula milo mi3 per day
 
Back
Top Bottom