Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Co kweli Rostam asingekuwa PM coz hakugombea jimbo lolote na kigezo cha PM ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa jimboni jidanganye mwenyewe.
katiba ingefanyiwa mabadiliko ya haraka mkuu, hakuna linaloshindikana chini ya jua
 
Mimi namiliki bodaboda 2 sasa ningekuwa nazo 4. Watoto wangu wangesoma shule za serikali bure na elimu bora.
 
Co kweli Rostam asingekuwa PM coz hakugombea jimbo lolote na kigezo cha PM ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa jimboni jidanganye mwenyewe.
Ni kubadili tu katiba kwa siki 1 kabla ya kumteua uwaziri angeweza tu si mtu wa manunuzi hadi vyama
 
Ila swali zuri sana,kwa imani za wengine mabomba ya dawasco yangetoa maziwa badala ya maji
 
Mimi namiliki bodaboda 2 sasa ningekuwa nazo 4. Watoto wangu wangesoma shule za serikali bure na elimu bora.
hizo 2 yeye ndo alikupa? Na hao watoto alikupa pia? Ulidhani angekukumbuka hata? Tena angekudai umrudishie na hizo boda kama hujazalisha zako shauri yako
 
Kazi ya kulipa fadhila kwa wanamtandao ingekuwa haijafika hata robo.
 
miaka yote 30 amekuwa mbunge wa Monduli mbona hakuweza kulifanya jimbo japo lifanane na la Mbowe?
Hii niliwahi kusema mbona ameshindwa kuwaletea maendeleo wana monduli ambao ni jamii ndogo kabisa..mbona ameshindwa kuwatafutia wamasai shughuli za kufanya matokeo yake wamekimbilia mjini kukesha(kulinda)..ameshindwa kuwaletea ustaarabu alionao yeye wa kuvaa na kutumia vyoo..matokeo yake wanajisaidia porini na kutembea uchi..wanakunywa Maji na ng'ombe
 
kivipi wakati wahindi wake wangeificha?
Hapana ingekuwa jero tu..maana wangekuwa hawalipi kodi..pia wangeingiza nyingi iliyo eksipaya..maana kusingekuwa na udhibiti..
 
lol!
kuna kitu watu wanashindwa kukielewa, ukiwa mgonjwa ili upone lazima upate maumivu kidogo, so kama ni sindano huwezi kusema kwakuwa yeye ni daktari basi akichomwa sindano haitauma! Nchi ilipokuwa imefikia, ili ipone inabidi tuumie kidogo hakuna cha nani wala nani. Hata ingekuwa ni upinzani, tena ndo tungeumia zaidi maana ni kama unachomwa sindano na daktari ambaye siyo mzoevu.
 
Unauhakika kuna manabii huku wa kuweza kujua tungekuwaje? Wapo watakaoegemea chuki kukujibu na wapo watakaovuta kamba upande wao.
 
Hii niliwahi kusema mbona ameshindwa kuwaletea maendeleo wana monduli ambao ni jamii ndogo kabisa..mbona ameshindwa kuwatafutia wamasai shughuli za kufanya matokeo yake wamekimbilia mjini kukesha(kulinda)..ameshindwa kuwaletea ustaarabu alionao yeye wa kuvaa na kutumia vyoo..matokeo yake wanajisaidia porini na kutembea uchi..wanakunywa Maji na ng'ombe
hahaha wanajisaidia porini halafu wanajifanya ndo asili yao wakati wakija mjini wanajisaidia kwenye vyoo. Hao wamasai amewanyonya sana kupitia madiwani na wenyeviti wa vijiji!
 
kwa njia ya miujiza siyo? Hahaha kwanza Rostam ndo angekuwa PM na ikulu ingehamia Monduli. Tungekuwa tuna hali mbaya hadi tukome!
Kuliko ya sasa mkuu naona nanga inapaaa bora kikwete Mara mia
 
Ni kubadili tu katiba kwa siki 1 kabla ya kumteua uwaziri angeweza tu si mtu wa manunuzi hadi vyama

ROSTAM HAPANA duh! MWENYE ENZI MUNGU atulinde nchi yetu!
 
Lowassa angekuwa Raisi CCM na Mubaraka wake wangekuwa na kesi kubwa ya Uchumi wangekuwa wamefilisika kwa madeni makubwa waliyokopa katika uchaguzi wangeuza viwanja vyao vya mpira na maofisi ili kulipa hayo madeni waliyo sababisha miaka zaidi 50 yaani wangepotea kabisa.
 
Kuliko ya sasa mkuu naona nanga inapaaa bora kikwete Mara mia
kwa uwiano upi? Kikwete kawa raisi miaka 10 sawa na miezi 120 wakati Magufuli ni miezi 8, kwa uwiano wa 120:8 sawa na 15:1 kwahiyo bado huwezi ku judge katika uwiano huo. Very wrong
 
Lowassa angekuwa Raisi CCM na Mubaraka wake wangekuwa na kesi kubwa ya Uchumi wangekuwa wamefilisika kwa madeni makubwa waliyokopa katika uchaguzi wangeuza viwanja vyao vya mpira na maofisi ili kulipa hayo madeni waliyo sababisha miaka zaidi 50 yaani wangepotea kabisa.
Kichwa panzi kama wewe unatakiwa ukafungiwe ufipa miaka yote ushinde na Mbowe humo ukimpangusa viatu.

Ukiachwa huku nje unaharibu vizazi Vya Mungu
 
Back
Top Bottom