japo mimi pro chadema ila kwa mziki huu Masai asingeuweza tungeingia choo cha kikeNi swali tu nawauliza wadau kwamba Lowasa angeshinda nafasi ya Uraisi, leo hii tungekuwaje? Ama hii nchi ingekuwaje? Kipi unadhani kipya tungekuwa nacho?
Baraza la mawaziri lote lingetokea kaskazini sijui kama sisi wa Tanga wanatufikiria katika uskazini au wametuweka pamoja na wa pwani sifahamu.
Yana mwisho hayo!!Kweli kabisa mkuu hao lumumba wanasema chochote kwa kejeli maana wanajua hakuna atakaye wazingira
Kwa mara ya kwanza tunashuhudia kushindwa kwa bajeti siku ya kwanzaMnapoteza muda kwa mambo ambayo hayapo badala ya kujadili budget iliyoshindwa siku ya kwanza tuu kuanza kutumika.
Au mpaka msikie gavana wa BOT na Bosi wa TRA zimepigwa Nguni ndio mtafatilia? Mzee Uchwara mambo yamemshinda mapema na amevunja rekodi ya dunia kwa failure speed
Hivi kweli mlikuwa na nia ya dhati kumchagua Lowassa?Tena ndipo tungetambua kweli miaka yote tulikua tunapoteza mda nikwanini tucngempa nchi mapema salut kwa lowasa
Mimi huwaga najipa matumaini kwa yaliyotokea afrika ya kusini,Mandela alikaa jela kwa 27 yrs lkn akaja kuwa rais wa nchiYana mwisho hayo!!
Usidanganyike ww.. utajili hauji ivi ivi & haiwezekan wote tuwe matajili nchi itakosa balance then depression ingetokeaKila mwananchi angekua tajiri kama alivosema haha,
Jiandae kuhama nchi 2020Hili Jambazi kamwe haliwezi kugusa ikulu.
na ungekuta ni kauli kama hizi zinatumika sasa sijui watahama wangapiJiandae kuhama nchi 2020
wewe usijidanganye, hizi siyo enzi za Sokwe, tupo generation ya 4, watu unaoweza kuwafikiria kwenye mizani hiyo ni vijana waliokomaa katika siasa kama Julius Malema, Zitto Kabwe na siyo huyo Dingi!Mimi huwaga najipa matumaini kwa yaliyotokea afrika ya kusini,Mandela alikaa jela kwa 27 yrs lkn akaja kuwa rais wa nchi
Co kweli Rostam asingekuwa PM coz hakugombea jimbo lolote na kigezo cha PM ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa jimboni jidanganye mwenyewe.kwa njia ya miujiza siyo? Hahaha kwanza Rostam ndo angekuwa PM na ikulu ingehamia Monduli. Tungekuwa tuna hali mbaya hadi tukome!