Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,483
Kwa miaka 55 toka Tanzania kupata uhuru bado watanzania tunatawaliwa na ccm na ilali za ccm na sera za ccm na nguvu za ccm na viongozi wa juu wa ccm na wizara za vyombo vya Dola vya ccm.
Sasa unapo taka kujua lambele kuhusu Mh Luwassa kwanza uyajuwe haya kua mlimwengu wa sasa ni wakidemocrasia .
Tukisema Luwassa angefanya nini tusihukumu kitu wakati haja pewa nchi, na kama ni ufisadi basi ccm ndiko jikoni .
Watanzania tujuwe kua bila ya ccm hakuna chama chengine no nilazima tuwe na cherging za mageuzi ili kuwa na compatation ya vyama na kupima wananchi kipi kinatufaa sio toka tuzaliwe ni ccm tu.
Hata biashara basi ina kompatosheni kila wakipunguza bei ndio faida kwa mteja na ccm ikiwekwa mpande ndio itajipanga upya.
Tusihadaliwe na Kuona Mh kaja kwa moto wa juu hii ni kutokana na chalengi ya uchaguzi wa mwaka huu ndio ccm ikajaribu kujitasmini .
Tujiulize na ss kama si ushindani mkubwa jee ccm ingekua vipi? Besszness usual.
Bado watanzania tuko maskini haliyakua nchi na viogazi ni mamilionea huku wananchi tukizidi kutumbukia katika maisha mangumu.