Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Mungu akupe tu wakati wake ukifika utaona moto wake.acheni majungu fanyeni kazi kama zipo taarifa lakini serikali inamwogopa?
Mungu akupe tu wakati wake ukifika utaona moto wake.acheni majungu fanyeni kazi kama zipo taarifa lakini serikali inamwogopa?
Nyota ipi sasa maana nyota zipo nyingi.Lowasa ni nyota inayong'aa
moto wa maigizo?Mungu akupe tu wakati wake ukifika utaona moto wake.
HahahaKama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?
Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?
Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?
Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!
mbona mnahangaika sana na Lowasa kwani yeye ndo raisi?Lowasa ataendelea kuwanyima usingizi sanaSipendi hata kufikiria maana ingekuwa zero kabisa,hana ubavu kuyafanya haya ambayo yanafanyika,angekuwa karidhika baada ya tamaa yake na ufisadi wake kumfikisha ikulu,kwanza angelikuwa na mkutano mkubwa na mafisadi wenzake,na kuanza kulipa visasi
kwani hapo ameandika kichina? Endelea kujitoa ufahamu Lowasa ni hazina ya taifaUmesema????
Kiukweli ilitaka moyo kumuelewa Lowassa alikuwa anataka kuifanyia nini Tanzania. Haeleweki kabisa alikuwa ana ajenda gani! Cha ajabu ni pale aliposema, "Watanzania wanipe tu mandate halafu wataona maajabu, nakuapia wallah"....Aaah! Huyu babu vepe? Anatufanya Watanzania wote ni Manyumbu! Eleza mikakati yako babu...usituletee habari za kuonewa hapa.
Kiukweli ilitaka moyo kumuelewa Lowassa alikuwa anataka kuifanyia nini Tanzania. Haeleweki kabisa alikuwa ana ajenda gani! Cha ajabu ni pale aliposema, "Watanzania wanipe tu mandate halafu wataona maajabu, nakuapia wallah"....Aaah! Huyu babu vepe? Anatufanya Watanzania wote ni Manyumbu! Eleza mikakati yako babu...usituletee habari za kuonewa hapa.
ungekuwa unahangaika na kazi yako kama unavyohangaika na Lowasa ungefanikiwa Sana. Lowasa ni mti wenye matunda mema kurushiwa mawe ni kawaida endeleeni na majungu yenu Lowasa atabaki kuwa hazina ya taifaLowasa kachanganyikiwa. Kila kick anayoshikilia inabuma mapema
ukiwauliza watu wa lumumba kwa hadi sasa kuna changes gani...watabaki wanapiga porojo tuWw mleta acha kutibua watu SAA hiz, mafisadi mmjezana hapo Lumumba , lowasa angekuwa rais kuanzia vijinin wangeshaanza kupata huduma bora za afya, na mwakan hakuna mwanafunz angeagizwa mchango, na angeshakomoesha mgao wa umeme tungeanza kufurahia umeme wa gesi
Unamanisha karata ya mwisho au?haya tunamhitaji magufuli...una jipya tena?
But kumbuka...he is your last Card
yeah...ni karata ya mwisho ya CCMUnamanisha karata ya mwisho au?
haya tunamhitaji magufuli...una jipya tena?
But kumbuka...he is your last Card