Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Serikali imchunguze huyo Lowasa. Tuliambiwa kuwa Lowasa ni tajiri mkubwa ijapokuwa sioni utajiri wake. Inawezekana ana biashara za magendo ambazo halipii kodi
Bila shaka tuanze na Jk, Mzee wa wapumbavu na malofa halafu tumalizia kwa Lowassa
 
Rais Dr. John Pombe Magufuli aliuliza hilo swali Ikulu wakati wa mkutano aliouitisha na wafanyabiasha. Edward Lowassa ameyasema hayo kwa nyakati tofauti. Mwanza wakati w msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na juzi januari mosi akiwa Monduli.
Watanzania bado tunahitaji kujiuliza nani tunamhitaji tena 2020?
Tusiwe Mazuzu, Tusijifanye vipofu, tusiweke pamba masikioni na kujifanya viziwi.

JPM inawezekena kabisa hajui watu waliofadhiri kampeni zake. Ndiyo maana walimkodia mpaka Helicopter ambayo hakuitumia!! Yeye kutokuwajuwa Wafadhiri wake haimaanishi kuwa kampeni zake hazikufadhiriwa ............. Kama pesa yote hiyo ingekuwa ni ya CCM basi leo hata kulipana mishahara ingekuwa issue!!
 
Yaaani nimekuonaa...nikastukaaaaa...nikatetemeka tetemeko kuuu.....hahahaha


Ha ha haa nikikwambia jamaa hafai huniamini....
nawasiwasi virusi vinaanza kukuingia maana na best yako alianzaga na mitetemeko mwisho wake kaamia kwa pempaz
 
Ha ha haa nikikwambia jamaa hafai huniamini....
nawasiwasi virusi vinaanza kukuingia maana na best yako alianzaga na mitetemeko mwisho wake kaamia kwa pempaz
mmmmmmmm...huko mi simooooo
 
Nilichofurahia hapo ni predictions zako tu but yoote uliyasema yamefanywa na viongozi wa waliotangulia wa ccm, badala ya ku predict ambacho angekifanya Lowassa ungebadiri uzi na kupeleka lawama kwa waliisha fanya, yaani Kikwete, Mkapa na Mwinyi badala ya kuzungumzia mambo ambayo hatuna hakika kama yangefanyika au LAA!
 
Bwana angekuwa anakula bata Ulaya. Mfano Mzuri ni ile siku aliyokutana na Wanawake wa CHADEMA pale mlimani city. Baada ya kupewa mahaba akaanza kusema "Halima mara baada ya uchaguzi mwezi November tukutane ngurdoto". imagine, kundi lote lile likae wiki au sijui siku ngapi ngurdoto si hatari jamani? Tumshukuru mungu sana kaepusha jamani.......................
 
Kutokuwa na wafadhili kumewasaidia nini watanzania maskini? Naona wanazidi kuumia tu. Yaani CCM mnatufanya watanzania wote wajiingaa kwa kutuletea hoja mfu kama hizi na kuacha kujadili hoja za msingi zinazowahusu watanzania!!! Wengine sio wajinga kama mnavyodhani.
 
Kwanza nina kesi nawewe nakuomba mahakama ya ndani haraka iwezekanavyo.
hahahahhaahahah...unajua JF ya sasaivi inanichanganyaaaa...hata kwenda huko mahakamani sipajui....hebu ni poke huko
 
hahahahhaahahah...unajua JF ya sasaivi inanichanganyaaaa...hata kwenda huko mahakamani sipajui....hebu ni poke huko



teh! mashikoromageni et

Go profile then conversation....ukishindwa njoo wasapu ni emmergency
 
Last edited:
Hakika Mungu mkubwa, angekuwa ashajimilikisha Vitalu vyote vya gesi, Mengi angepewa kimoja kwa promo yake!
eti waziri wa mambo ya ndani angekuwa msindai!
si mmeshazoea kuibiwa na ccm. ngoja wawaibie vizur na muda si mrefu mtaanza kulalama hapa
 
Lowassa kwa miezi miwili tu angewatia adabu wazembe angekuwa na mpango kazi unaoleweka asingeonea vidagaa na malofa mfumuko wa bei ungepunguwa na hakika matunda ya uhuru tungeyaona sio huyu dicteta magufuli
 
Lowassa kwa miezi miwili tu angewatia adabu wazembe angekuwa na mpango kazi unaoleweka asingeonea vidagaa na malofa mfumuko wa bei ungepunguwa na hakika matunda ya uhuru tungeyaona sio huyu dicteta magufuli
 
kuna watu humu jf nashindwa kuelewa kabisa

1.ni nini hasa uwa wamenuia kuandika

2.nina mashaka na uwezo wa wanajf wengi(kifikra,kimwazo,kimaono)

3.hizi personal hataki mpaka lini?


mnatuchosha,wengi wenu mnatoka sana kwenye mstari
 
Wasiwasi wangu pekee kuhusu Lowassa ilikuwa ni wale marafiki zake wasiojulikana ambao wamekuwa wakimpa mabilioni ya pesa kutoa makanisani, misikitini (hata kununulia ugombea CHADEMA) miaka nenda miaka rudi. Hawa jamaa si ajabu wangekuwa wameshaigeuza ikulu kuwa pango la walanguzi. Ni hilo tu ndo lilikuwa linanikera hata ukiniangalia usoni utaamini ni kweli lilikuwa linanikera (Nimekumbuka hotuba mashuhuri ya Baba wa Taifa)
 
Back
Top Bottom