Blue kijana mzee.. kama PolepoleEti sema yayayyaayayayaaa poooh kabisa blue ana pozi za zamani kabisa mweeeh eti sema woyoooooo hahahhaha alafu kamezeeeka au naona vibaya poooh na mm nazeka vibaya labda macho yang mabovu sema yeyeeeyaaaa yayayaaaa poooh blue mxewww
Nimecheka kifala yeyaaaaaa poooh blueAtakuta koromelo limetoboka![]()
![]()
![]()
Daah yaani hata maji sijui kama wanakunywa ni zaidi ya cheap labourBack vocal wamechoka jaman kwann hawabadilish tht mbn wapo wengi clouds aibu yenu pooooh
Huyu blue watu wakamate warudishe mirembeKichaa mwingine katoka mirembe kaungana na Blue
Fiesta ya Mwaka huu Dar wametia ubahili.Niwe mkweli tu pengine hii ndio show mbaya ya fiesta tangu nianze kuifatilia, show pekee niliyoifurahia ni ile ya Ben Pol hadi sasa, naujutia usingizi wangu. Nawasubiria ROSTAM na ASLAY labda wanaweza nibadilisha mtazamo
Nimecheka kifala sema yeyaaaaaaUnaweza kukuta mtu kichaa mnampa Mic anaanza kelele sasa sema yea sema yaya sema yeye haya mambo ya watoto wa Vidudu sio vizuri kuwaimbisha watu wazima
Nawaonea huruma kabisaDaah yaani hata maji sijui kama wanakunywa ni zaidi ya cheap labour
Halafu wana back wote kwa wakati mmoja simultaneously
Nikisema Nyandu nyie mnasema TOZI, huu ujinga haivumiliki.

Show za hawa wasanii utajikuta unazifanya kuwa komedyNimecheka kifala sema yeyaaaaaa
Show ya weusi na Ben Paul Dodoma ilikuwa hatar hapa nasubir weus nikalaleNiwe mkweli tu pengine hii ndio show mbaya ya fiesta tangu nianze kuifatilia, show pekee niliyoifurahia ni ile ya Ben Pol hadi sasa, naujutia usingizi wangu. Nawasubiria ROSTAM na ASLAY labda wanaweza nibadilisha mtazamo
Blue akimaliza hapo akanawe atakuwa tayari amejinyea...anajikamua sanaNatabiri kuna msanii ataimba hadi ajinyee naona wanatumia nguvu kuliko akili

Kabisa yan alafu anataka kuleta ya enzi zile pamba za blue jaman mbn anataka watu tukimbie tvBlue kijana mzee.. kama Polepole