Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Nimeona mtu kwenye Back Vocal Kama Kaoge Huenda ndiye anafanya show iwe Pasua Kichwa.
Kaoge amefariki mkuuNimeona mtu kwenye Back Vocal Kama Kaoge Huenda ndiye anafanya show iwe Pasua Kichwa.
Poooh putuuuu mxeeew omy dimpozy jux ndo kabisaaaPooooh
Faza kiba hamna kitu, ndo mana clouds wamemtupa mwazonJamani hivi Tiba ndo kamaliza show???nimejisikia mimi aibu
Msanii mkubwa anaondoka kimya kimya ha ha ha bado sana
WasameheSipendi waimbaji ambao hata hawatumii nguvu kucheza.. wakijawa majasho hivyo.. ni joto ndio ila si ni miili yao.. eti?
Sasa unaendaje kumpokea mgeni kama huyo na hubby!
Bella ndo anambeba KibaChristian Bella na Kiba
Woyoooooooooooooooooooo
Kweli kabisaAslay aje amuonyeshe jinsi ya kuimba na mashabiki huyu
Yan bora omy katoka nahis kasoma comment yang kaaamua kukimbia