Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Blue ndevu kama fagio za sokoni kariakooo poooh sauti nzitooo kama kafungwa kamba kwenye koromeo poooh na kalivyo kafupi hata sikaoni ptxiuuuuuuuu poooh kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwwiiiii
 
Eti sema yayayyaayayayaaa poooh kabisa blue ana pozi za zamani kabisa mweeeh eti sema woyoooooo hahahhaha alafu kamezeeeka au naona vibaya poooh na mm nazeka vibaya labda macho yang mabovu sema yeyeeeyaaaa yayayaaaa poooh blue mxewww
akikutaka utakataa?
 
Back
Top Bottom