Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,575
- 12,368
Babylon Bayser
Mond tangu 2008 grafu inapandaa.Mond anapendwa kwakua analeta swaga za umarekani kwa mwonekano. Na ushamba wetu ndo tunasema ndo msanii mzuri kumbe hakuna kitu. Amini nakuambia siku watu wakiuchoka umarekani wake kama walivyouchoka wa zilla, mtashangaa.
Mond sio mwanamuziki bali ni msanii. Sijui kama emenielewa
Amemaliza vizuriKiba naona kamaliza show mashabiki bado wanashangilia
Muda utasema mkuuMond tangu 2008 grafu inapandaa.
Kiba grafu inapanda na kushukaaa, haeleweki anaenda au anarudi
Kashapotea kwenye reli kitambo.Kiba Mbona anapiga Show Imepoa Sana
Atamaliza Saa ngapi huyu Blue kati ya wasanii damu yangu imewakataa yeye ni wa pili kutoka mwisho.

Boss maana anatembelea nyota yake aliambiwa na babu akigombana na kiba anapotea pooohHa ha haaaaa
Kabisa
Alikuwa anamsindikiza rafiki yake sijui bosi wake.
Eti Mr Blue Anaimba hapo
monitor aandike wapiga kelele tafadhali.Jamaa ni nyoko.Babelony bayser Mr. Blue noma huyu mtu hata asiwe na wimbo mpya lakini performance zake hatarii
Ukatuombee na sisiMie nalala sasa.. saa nane hii
Kesho niwahi misa.
Burudani njema kwenu.
Aiseee Demiss we balaaBlue ndevu kama fagio za sokoni kariakooo poooh sauti nzitooo kama kafungwa kamba kwenye koromeo poooh na kalivyo kafupi hata sikaoni ptxiuuuuuuuu poooh kabisa