cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,894
- 78,933
Omydimpoz jaman poooh joto LA dar anavaa sut anajikutaga handsome huyu ashukuru kiba anamlindia nyotaaa poooh na suruali sjui kitenge mwenyewe anaona katoka poooh nyota yake kidogo ipotee sjui ulienda kuoga kwa babu gani mxeeew
Inawezekana ukataka ya akiba tuBidhaa Ya Nin Nawakat Nipo Na Cocochanel
Usipende kuunga unga tu, uzalendo ni kukataa ujinga anaofanya mwezioPole mkuu tuunge mkono vya kwetu
Ah ah ah ah aha ah ah ah Mi Siwangi BhanaOoh jamani mke mwema lazima atoe taarifa.. na kwanza unafikiri amelala.. mmmmh inaonekana umekuwa mwanafunzi wa Mshana Jr kuanza kuwanga unazurura na ungo usiku.. kwa hili umekosea.. 😀
Tatizo mond hawezi fanya show za mchangani eti. Ameshakua yule sio level zetu tena
Poooh kabisa unanicheka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu duuuh! Eti ana mimba! [emoji23]
Asipojiangalia Aslay atampiga baoYeah umeona eeh
Kiba level yake Aslay
wote hapo hamna kituIla huyu Ommy naona kama kaja kumuharibia mwenzake
Nisije Jibebea Ma Nuksi BureInawezekana ukataka ya akiba tu
Wako vizuriChristian Bella na Kiba
Woyoooooooooooooooooooo
Yan bora omy katoka nahis kasoma comment yang kaaamua kukimbiaNimekupenda kwa kuangalia.. maana mimi najikuta nawaangalia mavazi pia na hivi sijui nyimbo zao nyingi basi eeeeeh
Hilo Swala Watu hata HawaelewiYupo na Vodacom kwa sasa, hawezi kupiga show ya Tigo.
kibamiaKiba Kiba Kiba Kiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PoooohYeye Si Mwanamke Bhana So Uwezo Anao
Watoto wa kurasini hao, laaana tupuOmmy anazingua pumbavu kabisa huyu jamaa
Hapa sasa hela yangu imeenda vizuriWako vizuri
Mond anapendwa kwakua analeta swaga za umarekani kwa mwonekano. Na ushamba wetu ndo tunasema ndo msanii mzuri kumbe hakuna kitu. Amini nakuambia siku watu wakiuchoka umarekani wake kama walivyouchoka wa zilla, mtashangaa.Kiba watu washamuona michosho.
Nilisemaga hapa Kiba anasafiria bifu la diamond kuwepo hapo alipo, lkn kiba ilikuwa zaman
Kweli kabisa wamepiga fresh.Hapa sasa hela yangu imeenda vizuri
Hata mkolomije akivamia nitaondoka bila kinyongo