Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Jamaa Kanikela Sana Uyu Yani Iz Nyimbo Zote Alitakiwa Aimbe Jux Hao Wenye Nyimbo Waimbe Kama Kiitikio Sasa Jux Anaoneka Kama Supporter Nawakat Yeye Ndiye Mwenye Jukwaa BhanaUko sahihi
Jamaa Kanikela Sana Uyu Yani Iz Nyimbo Zote Alitakiwa Aimbe Jux Hao Wenye Nyimbo Waimbe Kama Kiitikio Sasa Jux Anaoneka Kama Supporter Nawakat Yeye Ndiye Mwenye Jukwaa BhanaUko sahihi
Kabisa alafu jux kwenye pic za IG handsome ila ukikutana live pyeeeeeh bayaaaHahaaa eti uzungu gunia
Amezingua hapoJamaa Kanikela Sana Uyu Yani Iz Nyimbo Zote Alitakiwa Aimbe Jux Hao Wenye Nyimbo Waimbe Kama Kiitikio Sasa Jux Anaoneka Kama Supporter Nawakat Yeye Ndiye Mwenye Jukwaa Bhana
Kuuza sura tuSasa jux jukwaani Kaja kufanya nn
una maneno wewe khaa...!!Handsome tejaa kaingia nampenda akiimba kingereza q chillah ila upara labda ameathirika hatak nywele poooh kabisa mxeeew

Leo lazima uvue pichuKwa Q chief Sasa Vanessa akikataa kuhamshiwa dude leo atakuwa Lesb.....
Q nimemuelewaHuyu sasa ndo mnyama fundi chafu kabisaaaa
Daaah kweli afu hapo ndo anapofeli kutoa nafasi kwa wenziwe ye inaonesha ana uwezo mdogoKuuza sura tu
Ah ah ah ah ah ah ah ah Usiku Huu Bhana Kucheka Kwa Saut Sio Vzr BhanaKabisa alafu jux kwenye pic za IG handsome ila ukikutana live pyeeeeeh bayaaa
Asipoangali itakuwa mission impossibleDaaah kweli afu hapo ndo anapofeli kutoa nafasi kwa wenziwe ye inaonesha ana uwezo mdogo
Yuko poaQ nimemuelewa
Chefuuu kabisa jux ndo maan nikasema wajanja wamechukua nyota yake poohuna maneno wewe khaa...!!![]()